Huenda David Zacharia Kafulila ndio mwanasiasa kijana toka CCM anayewasumbua zaidi Anti-Samia kwa hoja zenye data na misimamo thabiti isiyoyumba

CHADEMA Kafulila atawatesa sana Kama hamtakuwa na mtu wa Kum counter vizuri,
Hao CHADEMA ndio wanaomwelekeza Rais amfute nani na kumteua nani? Au unamaanisha Rais Samia ni CHADEMA?
 
naona kafila anajipigia upatu,njaa mbaya sana aiseeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…