Huenda Divathebawse ni mdau wa JF

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
Kama ilivyo jieleza hapo mtangazaji wa Wasafi fm Divathebawse huenda ni mdau wa JF na kama yupo humu naomba areply hapa au akiona shida ani PM.

Sababu ya kusema hivyo mda huu yupo kwenye kipindi cha lovedavy na amechukua uzi wa rikiboy wa kula kimasihara na kuuweka kuwa mada.

Diva ameuliza je, ushawahi kula tunda kimasihara na ilikuwaje hivyo kacopy hadi nukta ya rikiboy na ndio maana nasema hivyo.
Kwahiyo diva fanya kuni PM
 
Riky boy..alipwe haiwezekani aibiwe title kizembe hivi
 
sio huyo tu, wapo wengi humu hata msiowatarajia, ni vile ku fake ID na kutochangia mada, kunawafanya wasjulkane, just imagine siku yule mama yao angejarbu kutoa thread humu ya kutetea jinsia, na wale wa upande ule, watakavyomreply na kujaza mabango humu ya free out chairperson[emoji23][emoji23],,constitution na mambo kibao yatajaa humu[emoji23][emoji23][emoji23], au fikilia mondi&kiba wakijitaja humu kwny nyuz za watu, kma jf haijageuka kijiwe cha insta&michambo[emoji23][emoji23]...inshort hum kuna kina aina ya watu,.
 
Kweli ila hizi ID zinaficha sana aisee ukute wapo wengi humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…