Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kachukua nyingi sana hasa kutoka MMUKama ilivyo jieleza hapo mtangazaji wa Wasafi fm Divathebawse huenda ni mdau wa JF na kama yupo humu naomba areply hapa au akiona shida ani PM.
Sababu ya kusema hivyo mda huu yupo kwenye kipindi cha lovedavy na amechukua uzi wa rikiboy wa kula kimasihara na kuuweka kuwa mada.
Diva ameuliza je, ushawahi kula tunda kimasihara na ilikuwaje hivyo kacopy hadi nukta ya rikiboy na ndio maana nasema hivyo.
Kwahiyo diva fanya kuni PM
Mbona mpaka sirikali hapa ndio chanzo chao tegemezi cha uhakikaNi jambo jema kama matunda ya humu yanaonekana na kwingineko
Hahahah akafanye nini? Isitoshe anatumia ID fake unataka wamudake? Harafu hayo ni maneno tu maana hata rikiboy huenda alitoa sehemu na vilevile hana hakimiliki ya hiyo kazi.Yupo tangu zamani huyo Malaya kawaida yake kuchukua nyuzi ila hatoi credit.
rikiboy nenda mahakamani