Huenda Dkt Mwigulu Nchemba ni unstoppable kwenye hii rarely ya Urais wa 2030

Ila tukiacha ushabiki huyu Kafulila anajua anachokifanya
Atakuwa ameahidiwa Uwaziri Mkuu endapo ndoto ya Mwigulu Nchemba itatimia hiyo 2030 !

Sisi tunamuhutaji yeyote yule ambaye ana nia nzuri na Nchi yake na Wananchi wake na Rasilmali za Nchi yake !

Hatuwataki wenye nia ya kujilimbikizia mali tu !

Nchi ni lazima iwe na Kiongozi Mkuu wa Nchi !
Na huyo Kiongozi awe na dhamira ya dhati kabisa kutoka sakafu ya moyo wake ya kutaka kuiongoza Nchi na Watu wake kufikia Maendeleo yanayohitajika !!
Isiwe nia yake ni kuja kutumbua na kujilimbikizia mimali na jamaa na marafiki zake tu ! Kama nanihino!

Iko hivi mtu hata akijilimbikizia mali kiasi gani lakini bado shida na maradhi ya kila aina yatamzonga tu Tajiri huyo !

Kwahiyo mtu kujidanganya kwamba ukisha kuwa na mimali mingi utakuwa na raha sana Duniani ni kujidanganya tu !!
Matajiri wote wenye mali nyingi wanalijua hili 😳
Au nasema uongo ndugu zanguni wenye mimali mingi sana ????!!! 😳🙄
🙌👍🙏🙏
Iko vile bandugu 😅😅😅
 
Matajiri wote wenye mali nyingi wanalijua hili [emoji15]
Au nasema uongo ndugu zanguni wenye mimali mingi sana ????!!! [emoji15][emoji849]
[emoji119][emoji106][emoji120][emoji120]
Iko vile bandugu [emoji28][emoji28][emoji28]
Hekima tupu...

Kudos [emoji7][emoji7]
 
Atakuwa ameahidiwa Uwaziri Mkuu endapo ndoto ya Mwigulu Nchemba itatimia hiyo 2030 !

Sisi tunamuhutaji yeyote yule ambaye ana nia nzuri na Nchi yake na Wananchi wake na Rasilmali za Nchi yake !

Hatuwataki wenye nia ya kujilimbikizia mali tu !

Nchi ni lazima iwe na Kiongozi Mkuu wa Nchi !
Na huyo Kiongozi awe na dhamira ya dhati kabisa kutoka sakafu ya moyo wake ya kutaka kuiongoza Nchi na Watu wake kufikia Maendeleo yanayohitajika !!
Isiwe nia yake ni kuja kutumbua na kujilimbikizia mimali na jamaa na marafiki zake tu ! Kama nanihino!

Iko hivi mtu hata akijilimbikizia mali kiasi gani lakini bado shida na maradhi ya kila aina yatamzonga tu Tajiri huyo !

Kwahiyo mtu kujidanganya kwamba ukisha kuwa na mimali mingi utakuwa na raha sana Duniani ni kujidanganya tu !!
Matajiri wote wenye mali nyingi wanalijua hili 😳
Au nasema uongo ndugu zanguni wenye mimali mingi sana ????!!! 😳🙄
🙌👍🙏🙏
Iko vile bandugu 😅😅😅
Ngoja tuone
 
Ana kauli chafu!
Za kebehi!
Amejaa majivuno
Amejaa dharau!
hafai hata kuongoza kijiji
kafulila ni mchawi kama wachawi wengine ila mwigulu hafai hata kdg
 
Huyu sio raia wa Tanzania
SHIDA YA WATANZANIA NDIYO HII.MTU AKIWA MCHAPAKAZI ,MKWELI SIYO RAIA.LAKINI AKIWA MWIZI ,FISADI ,NK NDIYE RAIA.KWA HIYO SIJUI TANZANIA RAIA WAKE NI WA AINA GANI.KWAMBA TANZANIA NI NCHI YA VILAZA AU ?
 
Rais wa mawe na miamba
20240906_190042.jpg
 
Back
Top Bottom