heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Huenda ile story ya kwamba
Diamond amepata na anaendelea
kupata mafanikio kutokana na
kutumia waganga wa kienyeji si
kweli!! You never know! Staa huyu
ambaye gazeti la Daily Nation
limemtaja kuwa miongoni mwa
wasanii wa Bongo Flava matajiri
zaidi, yupo karibu mno na mama
yake mzazi na pengine ndio maana
anafanikiwa, nani kama Mama? Vipi
kama mafanikio yake ni thawabu
halisi kutoka kwa Mwenyezi
Mungu?
Hizi ni picha ambazo Diamond
ameziweka kwenye website yake na
kuandika kwenye moja ya picha
hizo: Siku zote kabla ya kwenda
popote lazima tupitie kwa mama
yetu mpendwa atupe Barka zake na
nyingine hiyo juu akiandika:
Nikipokea baraka za Mama
.Nijaliwe Mema .na Niende kwa
Amani !!
source;bongo5.com
(7babu ya netwek nimeshindwa ku copy n paste pic husika bt zinamwonesha diamond na dancers wake wakiwa wamemwinamia mama ake diamond n mama diamond amemshika kichwan Diamond kabla ya kuenda kupiga show ya kwenye uzinduzi wa video ya ommy dimpoz na tulichoshuhudia ni yeye kumzid hata mwenye onyesho kwa kupiga show kari....
My take:nitakuwa wa mwisho kuamin kuwa mafanikio ya diamond yanatokana na mganga coz sote tunakiona kipaj cha huyu kijana na jins anavyojituma na kufanya vitu vya tofaut,kuanzia nyimbo zake na show zake tofaut kabisa ba wasanii wenzie.ni kama wamezubaa so y asiwe juu zaid yao???
acha kuamin ushirikuna kwa maendeleo yako na jamii yako