Huenda hii ndiyo sababu ya diamond kuwa na mafanikio na si mganga

Huenda hii ndiyo sababu ya diamond kuwa na mafanikio na si mganga

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
Huenda ile story ya kwamba
Diamond amepata na anaendelea
kupata mafanikio kutokana na
kutumia waganga wa kienyeji si
kweli!! You never know! Staa huyu
ambaye gazeti la Daily Nation
limemtaja kuwa miongoni mwa
wasanii wa Bongo Flava matajiri
zaidi, yupo karibu mno na mama
yake mzazi na pengine ndio maana
anafanikiwa, nani kama Mama? Vipi
kama mafanikio yake ni thawabu
halisi kutoka kwa Mwenyezi
Mungu?
Hizi ni picha ambazo Diamond
ameziweka kwenye website yake na
kuandika kwenye moja ya picha
hizo: Siku zote kabla ya kwenda
popote lazima tupitie kwa mama
yetu mpendwa atupe Barka zake na
nyingine hiyo juu akiandika:
Nikipokea baraka za Mama
….Nijaliwe Mema….na Niende kwa
Amani…!!
source;bongo5.com
(7babu ya netwek nimeshindwa ku copy n paste pic husika bt zinamwonesha diamond na dancers wake wakiwa wamemwinamia mama ake diamond n mama diamond amemshika kichwan Diamond kabla ya kuenda kupiga show ya kwenye uzinduzi wa video ya ommy dimpoz na tulichoshuhudia ni yeye kumzid hata mwenye onyesho kwa kupiga show kari....
My take:nitakuwa wa mwisho kuamin kuwa mafanikio ya diamond yanatokana na mganga coz sote tunakiona kipaj cha huyu kijana na jins anavyojituma na kufanya vitu vya tofaut,kuanzia nyimbo zake na show zake tofaut kabisa ba wasanii wenzie.ni kama wamezubaa so y asiwe juu zaid yao???
acha kuamin ushirikuna kwa maendeleo yako na jamii yako
 
yaani na nyie mmekaa mnaamini mambo ya waganga? Huyo mganga mnona hajajisafishia nyota akawa pedeshee mjini? Au yeye hataki maghorofa???
 
alafu yule mganga alisema diamond amemsahau baada ya kupata utajiri amshushe tuone kwa vile yeye ndiye aliyempandisha juu!
 
Vijana wa nchi hii wanafurahisha sana, Wageni wanaiba rasilimali zao Mtwara, Migodini huko, tembo wanauwawa na wajanja kila kukicha, madawa ya kulevya nje nje na watu wanatajirika, badala ya kuinuka na kupaza sauti zao kwa umoja ili kupambana na dhuluma hii wao wanakazana kumuongelea DIAMOND.

DIAMOND anakusaidia nini wakati ukiruka ruka nyimbo zake ukitoka hapo hata pa kula na kulala unaunga unga.
 
Kumbe" huenda" i thought you know kinacho mfanya awe na mafanikio kumbe hata wewe hujui.

SASA KAMA WEWE AMBAE HUKO KARIBU NAE UJUI NINI KINAMFAMYA AWE NA MAFANIKIO KATI YA HIVYO VIWILI JE MASHABIKI WAKE TUTAJUA?

"HUENDI HII NDIO INAMFANYA AWE NA MAFANIKIO".

SIDHANI KAMA ULIMAANISHA ULICHO KIANDIKA.


YAANI heaven on desert KUMBE HADI WEWE UNA WASIWASI NA MAFANIKIO YA BOSS WAKO diamond?
 
Last edited by a moderator:
Huyu bilashaka atakua ni domo mwenyewe kamasio yeye ni kijana ake wale wasafii crew
 
Diamond kama anaenda kwa waganga anapoteza muda tu, kwa sababu hahitaji nguvu yoyote ya ziada kutoka kwa mganga yeyote. Ana kipaji ambacho bado hakijapata kutokea!! Hata wanaoleta story za waganga nadhani hawajui wasemalo. Mbona kuwa ana kipaji cha ajabu ipo wazi sana?? Mi sielewi jamani!!!!
 
Back
Top Bottom