Pre GE2025 Huenda huu ukawa ndio mwanzo wa mwisho wa Siasa za Peter Msigwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Halalamikii kushindwa, analalamikia rafu na rushwa kutembea.
 
Wachagga mlioko cdm acheni kupndisha ,Msigwa analalamikia mchakato na si kushindwa.
 
Miaka kumi ya msigwa kanda ilitosha kwa msigwa kufanya mabadiliko ya muda wa madaraka ya chama
Msigwa hajalalamikia kushindwa, bali amelalamikia figisu zilizofanywa na Mbowe kupita agent wake John Mrema.
 
Nina mashaka kwamba wewe ni Msingwa
 
Msigwa kaona iringa akina Chengula wamemkalia vibaya kaenda CCM apewe hata ukuu wa wilaya
 
Msigwa ni mpuuzi sana.
Alipenda madaraka sana.
Sasa akapambane huko ccm tuone mwisho wake
 
Ingekuwa Kenya kesi yake ingekuwa na mashiko lakini kwa huku kisiwa cha Chura kiziwi hakuna haki atakayoambulia ikiwa mahakama ipo chini ya utashi wa Chura.
 
Ngoja tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…