Huenda huyu mtangazaji wa E. FM Maulid Kitenge kapata shavu sehemu nyingine

Huenda huyu mtangazaji wa E. FM Maulid Kitenge kapata shavu sehemu nyingine

Wewe jamaa utakuwa ni masikini sana kwa sababu una roho mbaya (chuki) imekujaa hadi inafuka moshi sasa!

Haya Kitenge kashahamia Wasafi FM pamoja na King Edo Kumwembe waite machizi sasa na umasikini wako
Nambombea msamaha msamehe bure tuu
 
Washatangaza anaenda wasafi fm na atakuwa akitangaza magazeti saa moja,saa mbili hadi saa tano atakuwa anatangaza kipindi cha wasafi sport arena
Asnte sana
 
Back
Top Bottom