Huenda huyu mtangazaji wa E. FM Maulid Kitenge kapata shavu sehemu nyingine

Tuheshinu Jf,hizi habari zingine hata shigongo hawazi chapisha......mbona ni Mara nyingi tu huwa hayupo?
Akiwa hayupo wanamweka yule demu ila leo wamesema kabisa kuwa kuna mabadiliko na barua walitumiwa usiku na wamemuweka mtangazaji lulu na ndie alisoma magazeti leo ina maana kuanzia leo atakuwa hayupo tena
 
Labda katekwa huwezi jua huwa anatangaza kwa mbwembwe ishu za serikali na kama unavyojua serikali ya sasa hivi inaruhusu watu wanaosifia tu ila wa kupondea kukiona cha mtema kuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…