Huenda huyu mtangazaji wa E. FM Maulid Kitenge kapata shavu sehemu nyingine

Kwa nini alimz
ingua yule
mtoa bastola kwenye mkutano wa napepea na waandishi wa habari?
 
Wamteke wakati....
Labda katekwa huwezi jua huwa anatangaza kwa mbwembwe ishu za serikali na kama unavyojua serikali ya sasa hivi inaruhusu watu wanaosifia tu ila wa kupondea kukiona cha mtema kuni.
 
Sidhani maana handle na musa wameaema kuwakuba badiliko kiutangazaji

Back
Top Bottom