aende wasafi media kwani ana kichaa??
kuhusu maulid kitenge kuachana na Efm na kujiunga wasafi nilishaandika hapa tangu tarehe 20 mwezi wa 9.Huenda huyu ndugu yetu bwana Kitenge kapata shavu sehemu au kahamishwa kitengo?
Mwenye kujua zaidi atuletee mrejesho.
Nimewasilisha.
tayari nimeona na nimetimiza ahadi yangu ya kutoa ticket ya ndege ya kwenda Burigi na kurudi baada ya kudhibitika kuwa kaenda wasafi.Maulid Kitenge ameshasaini mkataba Wasafi fm na anaanza kutangaza kipindi cha michezo kuanzia J3. Edo Kumwembe pia soon atatambulishwa.
Ahmed Abdalah bonge la presenter [emoji847]Japo nilikupinga,ila nimeonafununu hii mkuuView attachment 1235558
Hawa wasafi fm hawawezi buni kitu cha tofauti naona wanafanya kama efm sports hq.Hata mimi nineonaView attachment 1236283
Huwa unashinda nae?Si redio ya mumew sio mbaya. Ila sijui utangazaj na ethics zake kasomea wapi[emoji848]
Kwa experience yangu. Angekua amesha tangazaHuwa unashinda nae?
Mkuu uliwaza mbali sana. Iko confirmed nowLeo katika kipindi chao cha tunanyambua na kunyumbulisha nimesikia watangazaji wenzake akina Gerald Hando na Musa Kipanya
Wakisema kuwa jana yake usiku walipewa taarifa kuwa katika kipindi cha asubuhi magazeti kinachotangazwa na huyu mtangazaji mashughuri mwenye shughuli yake kwa mbwembwe za kuvutiwa wasikilizaji bwana Maulid Kitenge kuwa hatokuwepo na mbadala wake atasoma magazeti mtangazaji mpya ambae ni Elizabeth Michael maarufu kwa jina la LULU kuwa yeye ndie amesoma siku ya leo.
Huenda huyu ndugu yetu bwana Kitenge kapata shavu sehemu au kahamishwa kitengo?
Mwenye kujua zaidi atuletee mrejesho.
Nimewasilisha.
AiseeeKwa experience yangu. Angekua amesha tangaza
Mwenye picha yake plsAhmed Abdalah bonge la presenter [emoji847]
Hahahaaaa! Mzee najua umeghafilika sana! For sure, nilidhani jamaa anaelekea international! Wasafi fm?aende wasafi media kwani ana kichaa??
Naskia na Kikeke nae anarudi bongo kusaini wasafi doooh hatar sanaHata mimi nineonaView attachment 1236283
Kimyaaaaa tunaomba screenshoot ya ticket tafadhal!
Naskia na Kikeke nae anarudi bongo kusaini wasafi doooh hatar sana