Huenda huyu mtangazaji wa E. FM Maulid Kitenge kapata shavu sehemu nyingine

Huenda huyu mtangazaji wa E. FM Maulid Kitenge kapata shavu sehemu nyingine

Maulid Kitenge ameshasaini mkataba Wasafi fm na anaanza kutangaza kipindi cha michezo kuanzia J3. Edo Kumwembe pia soon atatambulishwa.
tayari nimeona na nimetimiza ahadi yangu ya kutoa ticket ya ndege ya kwenda Burigi na kurudi baada ya kudhibitika kuwa kaenda wasafi.
 
Nimeona Instagram kwamba anaelekea wasafi
Hata mimi nineona
Screenshot_2019-10-17-18-22-36.jpeg
 
Leo katika kipindi chao cha tunanyambua na kunyumbulisha nimesikia watangazaji wenzake akina Gerald Hando na Musa Kipanya

Wakisema kuwa jana yake usiku walipewa taarifa kuwa katika kipindi cha asubuhi magazeti kinachotangazwa na huyu mtangazaji mashughuri mwenye shughuli yake kwa mbwembwe za kuvutiwa wasikilizaji bwana Maulid Kitenge kuwa hatokuwepo na mbadala wake atasoma magazeti mtangazaji mpya ambae ni Elizabeth Michael maarufu kwa jina la LULU kuwa yeye ndie amesoma siku ya leo.

Huenda huyu ndugu yetu bwana Kitenge kapata shavu sehemu au kahamishwa kitengo?

Mwenye kujua zaidi atuletee mrejesho.

Nimewasilisha.
Mkuu uliwaza mbali sana. Iko confirmed now
 
Back
Top Bottom