aende wasafi media kwani ana kichaa??
Kitenge akienda wasafi nakulipia ticket ya ndege kwenda Burigi na kurudi.
Hapana hatuna undugu ila ni mtu ninae mheshimu.
Sijawahi kuwa na nidhamu ya uoga uliza popote pale watakwambia ujinga wanguUnamuheshimu au una nidhamu ya woga unamwogopa
Umeshapata tiketi yako ya ndege kutoka kwa Daudi Mchambuzi?Sijawahi kuwa na nidhamu ya uoga uliza popote pale watakwambia ujinga wangu
Lengo ni kujua tuu bila kuuliza huku wee ungejua?
Njaa na tamaa ni mbaya sanaMkuu sio swala la kusadikika tayar huyo nguri wa kutangaza habari za michezo nchini ameshatua wasafi fm 88.9 kwa taarifa yenu sio yeye tu wako watangazaji wenzake wa3 wametinga wasafi, utashindana na mwenye hera wewe u muweze?? View attachment 1236433View attachment 1236434View attachment 1236435View attachment 1236436
Radio gani hiyoBiashara ya radio ngumu sana. Ndio maana Abdallah Majura kaamua kumuuzia Mwamposa. Yaani siku hizi wanafanya kusajili kwa mbwembwe na si kuajiri.
Kuna radio hapa hapa dar huwa nakaa miezi hadi mitatu sijasikiliza, na wanatumia gharama kuendesha ujue.