Huenda huyu ndio DC anayependwa zaidi Kwa sasa Tanzania

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2020
Posts
2,823
Reaction score
2,466
Akiwa katika Kata ya Chanzulu Baada ya mkutano wa wananchi Mhe DC Shaka Hamdu Shaka apokea mahaba toka kwa Wananchi anaowaongoza.

Wananchi wa vijiji vya Chanzuru na Muungano wameshindwa kuzuia hisia na furaha zao, wakambidhi DC Shaka Zawadi na kumshukuru kwa namna anavyopambania kutatua changamoto zao.

===
 
View attachment 3253984
Shaka Mtu sana aishi na kufanikiwa sana tu
 
Akiwa katika Kata ya Chanzulu Baada ya mkutano wa wananchi Mhe DC Shaka Hamdu Shaka apokea mahaba toka kwa Wananchi anaowaongoza.

Wananchi wa vijiji vya Chanzuru na Muungano wameshindwa kuzuia hisia na furaha zao, wakambidhi DC Shaka Zawadi na kumshukuru kwa namna anavyopambania kutatua changamoto zao.

===
View attachment 3253984Aki
 
Walimpeleka huko akakue kisiasa maana alianza kubwabwaja vitu visivyoeleweka.
NB nimeona hapo juu ID 3 huku moja wapo ikiwa ya shaka mwenyewe akijipigia promo
 
Pale Mzenji anapokuwa DC bara wakati m bara hawezi kuwa DC Zenji...hv hii ni katiba au kijitabu tu?!
 
Akiwa katika Kata ya Chanzulu Baada ya mkutano wa wananchi Mhe DC Shaka Hamdu Shaka apokea mahaba toka kwa Wananchi anaowaongoza.

Wananchi wa vijiji vya Chanzuru na Muungano wameshindwa kuzuia hisia na furaha zao, wakambidhi DC Shaka Zawadi na kumshukuru kwa namna anavyopambania kutatua changamoto zao.

===
View attachment 3253984
Wazenji mnajua kudeka na kudekezwa hasa mkiwa huku Bara
 
Lenyewe liko vizuri kwenye kuongoza, hata kama ni bwabwa lakini linajua kuongea na wananchi!
 
Kama wananchi wanampenda ni kwa sababu wanaiona tabia yake 24/7
 
Walimpeleka huko akakue kisiasa maana alianza kubwabwaja vitu visivyoeleweka.
NB nimeona hapo juu ID 3 huku moja wapo ikiwa ya shaka mwenyewe akijipigia promo
Acha kuweweseka wewe.hakuna asiye fahamu uchapakazi, uadilifu na uzalendo wa Mheshimiwa Shaka .kila mahali alikofanya kazi ameacha alama chanya zinazoendelea kukumbukwa. Huyu ni kiongozi na Mtumishi wa watu ambaye anajua cheo ni Dhamana na ni utumishi kwa watu
 
Back
Top Bottom