Nanren
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 3,135
- 3,392
Mwanaume anazawadiwa nguo ya kike, ndio unasema anapendwa?Akiwa katika Kata ya Chanzulu Baada ya mkutano wa wananchi Mhe DC Shaka Hamdu Shaka apokea mahaba toka kwa Wananchi anaowaongoza.
Wananchi wa vijiji vya Chanzuru na Muungano wameshindwa kuzuia hisia na furaha zao, wakambidhi DC Shaka Zawadi na kumshukuru kwa namna anavyopambania kutatua changamoto zao.
===
View attachment 3253984
Mimi ukinifanyia hivyo nitafikiri unanifungamanisha na upinde wa mvua. Hakika nitakufanya kitu mbaya