Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
Shaka Mtu sana aishi na kufanikiwa sana tuAkiwa katika Kata ya Chanzulu Baada ya mkutano wa wananchi Mhe DC Shaka Hamdu Shaka apokea mahaba toka kwa Wananchi anaowaongoza.
Wananchi wa vijiji vya Chanzuru na Muungano wameshindwa kuzuia hisia na furaha zao, wakambidhi DC Shaka Zawadi na kumshukuru kwa namna anavyopambania kutatua changamoto zao.
===
View attachment 3253984
Ile kesi yake ya kuwa bwabwa iliishia wapi?Shaka Mtu sana aishi na kufanikiwa sana tu
Akiwa katika Kata ya Chanzulu Baada ya mkutano wa wananchi Mhe DC Shaka Hamdu Shaka apokea mahaba toka kwa Wananchi anaowaongoza.
Wananchi wa vijiji vya Chanzuru na Muungano wameshindwa kuzuia hisia na furaha zao, wakambidhi DC Shaka Zawadi na kumshukuru kwa namna anavyopambania kutatua changamoto zao.
===
View attachment 3253984Aki
Anapumuliwa kisogoni?????? 😳😳??Ile kesi yake ya kuwa bwabwa iliishia wapi?
Itakuwa aliliwa na mahagwe na kachumbari ya ndimu nyingi.Ile kesi yake ya kuwa bwabwa iliishia wapi?
Wazenji mnajua kudeka na kudekezwa hasa mkiwa huku BaraAkiwa katika Kata ya Chanzulu Baada ya mkutano wa wananchi Mhe DC Shaka Hamdu Shaka apokea mahaba toka kwa Wananchi anaowaongoza.
Wananchi wa vijiji vya Chanzuru na Muungano wameshindwa kuzuia hisia na furaha zao, wakambidhi DC Shaka Zawadi na kumshukuru kwa namna anavyopambania kutatua changamoto zao.
===
View attachment 3253984
Mimi sasa Lucas Mwashambwa nimefika tayari kwa kishindoo kikuu. Embu niambie una matatizo gani.Wewe ni Lucas Mwashambwa
Acha kuropoka ropoka Hovyo kama kichaa au mwendawazimu.uwe na adabu kwa viongoziLenyewe liko vizuri kwenye kuongoza, hata kama ni bwabwa lakini linajua kuongea na wananchi!
Acha kuweweseka wewe.hakuna asiye fahamu uchapakazi, uadilifu na uzalendo wa Mheshimiwa Shaka .kila mahali alikofanya kazi ameacha alama chanya zinazoendelea kukumbukwa. Huyu ni kiongozi na Mtumishi wa watu ambaye anajua cheo ni Dhamana na ni utumishi kwa watuWalimpeleka huko akakue kisiasa maana alianza kubwabwaja vitu visivyoeleweka.
NB nimeona hapo juu ID 3 huku moja wapo ikiwa ya shaka mwenyewe akijipigia promo
Ilidaiwa aliolewa MombasaIle kesi yake ya kuwa bwabwa iliishia wapi?
Hiyo kesi ulifungua wewe? Acha Uropokaji na kuwachafua watu hapa.Ile kesi yake ya kuwa bwabwa iliishia wapi?