Huenda huyu ndio DC anayependwa zaidi Kwa sasa Tanzania

Mwanaume anazawadiwa nguo ya kike, ndio unasema anapendwa?
Mimi ukinifanyia hivyo nitafikiri unanifungamanisha na upinde wa mvua. Hakika nitakufanya kitu mbaya
 
Mideko sana huyo mtu unae msifia. Anaongea kama mtu aimbae taarabu. Alitolewa chamani ili aende huko kukua. Alibwabwaja kittuko kimoja ikabidi mfumo umtupe huko kwanza
 
Hakuna nyakati ambazo wananchi wa Kilosa walifurahia km wakati wa utawala wa Magufuli.. Wafugaji walitii mashamba ya watu na hapakuwa na migogoro..Wananchi walitembea kifua mbele wakijua kuna Rais .. ukitaka kuamini waulize wakazi wa Dumila, walivyokuwa wananyanyashwa na wafugaji kule mashambani, Mabana, Garadasi,Mambegwa, Mbigili hadi Ludewa Baada ya Magu kuingia madarakani hali iliuuwa shwari..
 
Mideko sana huyo mtu unae msifia. Anaongea kama mtu aimbae taarabu. Alitolewa chamani ili aende huko kukua. Alibwabwaja kittuko kimoja ikabidi mfumo umtupe huko kwanza
Acha uongo na uzushi wako hapa wewe
 
Jamaa ana ID nyingi sana huyu .. na huyu Mwashambwa sio mtu wa Mbeya ni Mzanzibar anayetumia jina la Kinyiha kuonyesha Chura Kiziwi ana uungwaji mkubwa huru bara...
Kweli wewe ni Mgonjwa usiyejitambua kabisa. Kwanini unapenda ubaguzi kama mchawi? Kwani Mzanzibari siyo Mtanzania? Hivi kuna mtu anakubalika na kupendwa Nchi hii kumshinda Rais SAMIA?
 
Kweli wewe ni Mgonjwa usiyejitambua kabisa. Kwanini unapenda ubaguzi kama mchawi? Kwani Mzanzibari siyo Mtanzania? Hivi kuna mtu anakubalika na kupendwa Nchi hii kumshinda Rais SAMIA?
Ni kweli hakuna kiongozi anayeongoza kupendwa nchi hii na machawa na mabango ya barabarani..
 
Huyu aliwahi kuolewa kabisa Mombasa na akafukuzwa uanachama enzi akiwa Uvccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…