Huenda January Makamba ana gundu

Huenda January Makamba ana gundu

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Kwa nini mambo yake mengi hayakubaliki na watu?!

Tuhuma za ujanja ujanja ili afanikiwe mambo yake zimetamalaki mno hali inayoelezwa huenda ni fisadi-pengine?!

Mbaya zaidi hakubaliki na kila analolifanya hali inayowapelekea watu kumuona ni mhuni wa kisasa ndani ya kazi ya siasa.

Huenda analo gundu huyo kijana.
 
Ana tuhuma zipi huyu kijana?
 
Kana jiona sana hako kajamaa kisa tu kalikuwa karibu na mkwere tangu enzi zile.

Kachoyo hatari, kanapenda kufanya mambo yake kaonekane kenyewe tu.

Hata hivyo,, kafisadi balaa. Ntu wa dili.

Akikosa dili hamutaelewana. Na ndio mwanzo wa ugomvi na mwendazake.
 
Ukuaji wake kisiasa na viwanja vya ikulu na waliomlea enzihizo ujue enzi anakuzwa maeneo hayo ndipo vile Kama meremeta ,buzwagi, uwekezaji na utandawazi .....mipango mipango hapo juu inamuharubia dogo
 
Kwa nini mambo yake mengi hayakubaliki na watu?!

Tuhuma za ujanja ujanja ili afanikiwe mambo yake zimetamalaki mno hali inayoelezwa huenda ni fisadi-pengine?!

Mbaya zaidi hakubaliki na kila analolifanya hali inayowapelekea watu kumuona ni mhuni wa kisasa ndani ya kazi ya siasa.

Huenda analo gundu huyo kijana.
Atueleze Crane la tani 26 liko wapi ili tuache kumuona poyoyo mpigaji
 
Kwa nini mambo yake mengi hayakubaliki na watu?!

Tuhuma za ujanja ujanja ili afanikiwe mambo yake zimetamalaki mno hali inayoelezwa huenda ni fisadi-pengine?!

Mbaya zaidi hakubaliki na kila analolifanya hali inayowapelekea watu kumuona ni mhuni wa kisasa ndani ya kazi ya siasa.

Huenda analo gundu huyo kijana.

January Makamba alishiriki wizi wa Mitihani Galanos na kufutiwa matokeo

Ni Kihiyo huyu Jamaa na Elimu ya Kuunga unga
 
baba ake ameanza kugombana na mkwere tayari kimya kimya mzee wa zamani wa ccm anataka dogo awe mkuu wa nchi 2025 or 2030 stay focuse mkwere nae anatengeneza chain ya kumueka Riz awe mkuu wa nchi 2030 or 2035 [emoji95][emoji95][emoji95] #copythat
 
Kwa nini mambo yake mengi hayakubaliki na watu?!

Tuhuma za ujanja ujanja ili afanikiwe mambo yake zimetamalaki mno hali inayoelezwa huenda ni fisadi-pengine?!

Mbaya zaidi hakubaliki na kila analolifanya hali inayowapelekea watu kumuona ni mhuni wa kisasa ndani ya kazi ya siasa.

Huenda analo gundu huyo kijana.
Tuanzie hapa.....

UTAWALA wa awamu ya 5 haukubadili waziri wa nishati ?!!!

Ni utawala upi ambao waziri wake wa nishati hakukumbana na changamoto kubwa?!!!!!

Mh.January amepewa wizara yenye changamoto ambazo hata ungepewa wewe zisingekoma.....

#Siempre JMT🙏
 
Kuna uwezekanao mkubwa akawepo hapo kimkakati. Ili avurunde wa Tz tumuone hafai
 
Huyo Mwezi wa kwanza manila ndo kigogo wa Twitter sahiv katulia kwakua anakunwa huku anapapaswa
 
Bila Jakaya huyu dogo na yule muuza ngada aliyekamatwa China babake akamkingia kifua wasingewahi kuwa na cheo cho chote katika nchi hii kwa sababu kichwani ni empty sets na hawana hata chembe ya uzalendo. Lakini kwa sasa eti mmoja wao ndiyo anaandaliwa kuja kuwa rais wa Tanzania! [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Kwa nini mambo yake mengi hayakubaliki na watu?!

Tuhuma za ujanja ujanja ili afanikiwe mambo yake zimetamalaki mno hali inayoelezwa huenda ni fisadi-pengine?!

Mbaya zaidi hakubaliki na kila analolifanya hali inayowapelekea watu kumuona ni mhuni wa kisasa ndani ya kazi ya siasa.

Huenda analo gundu huyo kijana.
Crane la tani 26 ,Huyu jamaa alipopewa tu hii wizara. Tukawa tumeshajua maumivu yatakayotukumba.mm sioni umuhimu wa kuwa na waziri kilaza kama huyu. Huyu sio mramba asali bali ni mchota asali, maana Amezaliwa na kulelewa ndani ya mzinga.
Vyeo vya fadhira ni majanga• Uteuzi ni mzigo wa misumari kichwani• lazima uwe mtumwa wa fikra kwanza•
 
Tuanzie hapa.....

UTAWALA wa awamu ya 5 haukubadili waziri wa nishati ?!!!

Ni utawala upi ambao waziri wake wa nishati hakukumbana na changamoto kubwa?!!!!!

Mh.January amepewa wizara yenye changamoto ambazo hata ungepewa wewe zisingekoma.....

#Siempre JMT🙏
Vingine wanatengeneza wenyewe waje waonekane wamesolve matatizo.awamu ya 5 waziri alikuwa poa bila fujo..huyu aishiwi vioja mara crane ,mara repair Tanesco ndo kisa cha kukatika umeme vitu visivyo na mantiki kabisa
 
January Makamba alishiriki wizi wa Mitihani Galanos na kufutiwa matokeo

Ni Kihiyo huyu Jamaa na Elimu ya Kuunga unga
DJ Bramo hii "CHORUS" imechuja....would you plz change it ?!!!
 
Kwa nini mambo yake mengi hayakubaliki na watu?!

Tuhuma za ujanja ujanja ili afanikiwe mambo yake zimetamalaki mno hali inayoelezwa huenda ni fisadi-pengine?!

Mbaya zaidi hakubaliki na kila analolifanya hali inayowapelekea watu kumuona ni mhuni wa kisasa ndani ya kazi ya siasa.

Huenda analo gundu huyo kijana.
Ogopa sana ukiwa hapa duniani Kuchanganya Vitu hivi Vitatu vya Unafiki, Uchawi na Ukuwadi.
 
Back
Top Bottom