halafu huyu mwamba anataka kuwa namba moja siku za usoni daa sijui itakuajeKwa nini mambo yake mengi hayakubaliki na watu?!
Tuhuma za ujanja ujanja ili afanikiwe mambo yake zimetamalaki mno hali inayoelezwa huenda ni fisadi-pengine?!
Mbaya zaidi hakubaliki na kila analolifanya hali inayowapelekea watu kumuona ni mhuni wa kisasa ndani ya kazi ya siasa.
Huenda analo gundu huyo kijana.