Huenda January Makamba ana gundu

halafu huyu mwamba anataka kuwa namba moja siku za usoni daa sijui itakuaje
 
Kama aliiba mtihani akafutiwa matokeo. Basi tena.

Ila unaweza mpa mtu benefit of doubt maana watu hubadilika.

Lakini sasa kama tabia inajirudia kila mara hilo ni tatizo.
 
Makamba ni part ya wapigaji katika taifa hili kipindi ameingia tu umeme ulianza kusumbua akasema mitambo ilikuwa haifanyiwi marekebisho akatoa lawama kweli kwa uongozi uliopita.akaomba siku 10 za mgao kufanya marekebisho naona siku zimepita lakini Umeme unakatika katika sana tu yaani tumerudi kulekule asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…