Sasa kama wanapokea hongo wakiwa nje ya Serikali vipi kama wakiwa na Serikali?Majizi yapi!!?sisi ccm Kwa mujibu was ripoti ya CAG kaitaja chadema!!?
Cage report imemtaja nani!?kama sio office zetu za seriakali yetu!!?
Chadema Ina Dola!!?kati ya ccm na chadema nani anamiliki dola!!?
Ngoja tuone awamu hiiCHADEMA ni chama huru kuweka fikra zako mezani zikajadiliwa na kisha kukubaliana kutofautiana muafaka ukakubalika.
Tofauti na chama kongwe dola ambacho hadi fomu ni moja tu inatolewa kwa kuogopa hoja kizani zikajadiliwa na kukubaliana kutofautiana kisha chama kinakaendelea baada ya muafaka.
Wakati Tundu Lissu akiwa anaamini mwenyekiti wake Bw Freeman Aikael Mbowe analamba asali toka Kijiji Cha Nyuki kilichopo huko Singida,
Tayari Kuna taarifa za chini chini kuwa asali pia inalambwa na baadhi ya wajumbe wa Kamati kuu ambao mara nyingi wamejitanabaisha kama vijana imara na watu wasiopenda rushwa wala Ufisadi.
Wakati Freeman Aikael Mbowe anashambuliwa kulamba asali taarifa zisizo rasmi yeye anatumia mwanya wa Tundu Lissu kumnanga Rais Samia hasa kualikwa na BAWACHA kama silaha ya kumdhoofisha katika hoja yake hiyo ya kulamba asali.
Kabla ya Kamati kuu hii ni Tundu Lissu pamoja na John Heche ndio walionekana kuwa na nguvu ya kutwaa nafasi ya Uenyekiti wa Taifa hasa baada ya Freeman Mbowe kudhoofishwa na hoja ya Ulambaji wa asali.
Huenda Freeman Aikael Mbowe akairejesha nguvu yake hasa baada ya kumbana Tundu Lissu kwenye hoja zake za kuropoka ropoka ikiwemo hoja yake ya kutaka kuligawa Taifa la Tanzania.
Tundu LIssu, Freeman Mbowe na John Heche ndio wanachama wanaopewa nafasi kubwa ya kuiongoza CHADEMA kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Ule Uchaguzi Mkuu wa Mwakani.
Je, Baada ya yote CHADEMA kutoka salama au tutarajie CHADEMA kutoka vipande vipande kama ilivyokuwa kwa NCCR, CUF na hata TLP?
#Tuupe muda muda tuone.
WAMWACHIE LISSU CHAMA KIMESHAWASHINDA HAO WENGINEFisi endelea kusubiri mkono udondoke,jambo ambalo halitakaa litokee
HIVI MCHUNGAJI MSIGWA AONE HELA AIACHE KWELIIIIUsicheze na hela mgawanyiko ni mkubwa
π€£π€£π€£π€£ Makamanda wa AngaHIVI MCHUNGAJI MSIGWA AONE HELA AIACHE KWELIIII
Ninachoweza kukujibu ni jibu la mama yenu STUPID
Wakati Tundu Lissu akiwa anaamini mwenyekiti wake Bw Freeman Aikael Mbowe analamba asali toka Kijiji Cha Nyuki kilichopo huko Singida,
Tayari Kuna taarifa za chini chini kuwa asali pia inalambwa na baadhi ya wajumbe wa Kamati kuu ambao mara nyingi wamejitanabaisha kama vijana imara na watu wasiopenda rushwa wala Ufisadi.
Wakati Freeman Aikael Mbowe anashambuliwa kulamba asali taarifa zisizo rasmi yeye anatumia mwanya wa Tundu Lissu kumnanga Rais Samia hasa kualikwa na BAWACHA kama silaha ya kumdhoofisha katika hoja yake hiyo ya kulamba asali.
Kabla ya Kamati kuu hii ni Tundu Lissu pamoja na John Heche ndio walionekana kuwa na nguvu ya kutwaa nafasi ya Uenyekiti wa Taifa hasa baada ya Freeman Mbowe kudhoofishwa na hoja ya Ulambaji wa asali.
Huenda Freeman Aikael Mbowe akairejesha nguvu yake hasa baada ya kumbana Tundu Lissu kwenye hoja zake za kuropoka ropoka ikiwemo hoja yake ya kutaka kuligawa Taifa la Tanzania.
Tundu LIssu, Freeman Mbowe na John Heche ndio wanachama wanaopewa nafasi kubwa ya kuiongoza CHADEMA kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Ule Uchaguzi Mkuu wa Mwakani.
Je, Baada ya yote CHADEMA kutoka salama au tutarajie CHADEMA kutoka vipande vipande kama ilivyokuwa kwa NCCR, CUF na hata TLP?
#Tuupe muda muda tuone.
haikusaidii lolote...mpuuzi mkubwa kutoka CCMBoni tunasikia na wewe umevuta mzigo ukajenga hekalu halafu unatuambia ni "Kitu ya yai" π€£π€£π€£π€£
Hoja,sio amejiunga lini.Kujiunga JF imekuwa hoja ya kumtambia mtu? Dundee United.Joined 26 April 2024
Natangaza kukudharau milele
Ngoja tuone mwoshi mweupe
Wakati Tundu Lissu akiwa anaamini mwenyekiti wake Bw Freeman Aikael Mbowe analamba asali toka Kijiji Cha Nyuki kilichopo huko Singida,
Tayari Kuna taarifa za chini chini kuwa asali pia inalambwa na baadhi ya wajumbe wa Kamati kuu ambao mara nyingi wamejitanabaisha kama vijana imara na watu wasiopenda rushwa wala Ufisadi.
Wakati Freeman Aikael Mbowe anashambuliwa kulamba asali taarifa zisizo rasmi yeye anatumia mwanya wa Tundu Lissu kumnanga Rais Samia hasa kualikwa na BAWACHA kama silaha ya kumdhoofisha katika hoja yake hiyo ya kulamba asali.
Kabla ya Kamati kuu hii ni Tundu Lissu pamoja na John Heche ndio walionekana kuwa na nguvu ya kutwaa nafasi ya Uenyekiti wa Taifa hasa baada ya Freeman Mbowe kudhoofishwa na hoja ya Ulambaji wa asali.
Huenda Freeman Aikael Mbowe akairejesha nguvu yake hasa baada ya kumbana Tundu Lissu kwenye hoja zake za kuropoka ropoka ikiwemo hoja yake ya kutaka kuligawa Taifa la Tanzania.
Tundu LIssu, Freeman Mbowe na John Heche ndio wanachama wanaopewa nafasi kubwa ya kuiongoza CHADEMA kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Ule Uchaguzi Mkuu wa Mwakani.
Je, Baada ya yote CHADEMA kutoka salama au tutarajie CHADEMA kutoka vipande vipande kama ilivyokuwa kwa NCCR, CUF na hata TLP?
#Tuupe muda muda tuone.
Jibu hoja madamMnalipwa kijinga sana!
Haya ndio matamanio ya Kila mwanaccm dhidi ya Lisu v/s Mbowe.

Another New comerJibu hoja madam
Ninakumbuka wakati Chadema inapitishwa kwenye mapito yake CCM walisema na kutuaminisha Chadema ya Wachaga upepo ukapita, wakasema ya kasikazini upepo ukapita, wakasema ya wakristo ingawa nakumbuka kuna kipindi Mkapa alikuwa mwenyekiti, Mangula, Jackson Msome nk hatukusema CCM ni ya kikristo. Ukafika muda baada ya tukio moja nakumbuka Arusha wakasema Chadema imejilipua oh ni ya kigaidi. Sasa hv wanatengeneza lugha mpya eti tukate tamaa. HATUKATI. Mti wenye matunda ndo unaopigwa mawe. Haujiulizi vyama vingine vipo c wavishambulie hivyo?
Basi endeleeni kuaamini kuwa Mzee Mbowe atakuwa Rais wa JMTπββοΈπββοΈπββοΈBasi endeleeni k
Yeti macho,Japo tuliwambiaa nyinyi ni wababaishaji..
Wakati Tundu Lissu akiwa anaamini mwenyekiti wake Bw Freeman Aikael Mbowe analamba asali toka Kijiji Cha Nyuki kilichopo huko Singida,
Tayari Kuna taarifa za chini chini kuwa asali pia inalambwa na baadhi ya wajumbe wa Kamati kuu ambao mara nyingi wamejitanabaisha kama vijana imara na watu wasiopenda rushwa wala Ufisadi.
Wakati Freeman Aikael Mbowe anashambuliwa kulamba asali taarifa zisizo rasmi yeye anatumia mwanya wa Tundu Lissu kumnanga Rais Samia hasa kualikwa na BAWACHA kama silaha ya kumdhoofisha katika hoja yake hiyo ya kulamba asali.
Kabla ya Kamati kuu hii ni Tundu Lissu pamoja na John Heche ndio walionekana kuwa na nguvu ya kutwaa nafasi ya Uenyekiti wa Taifa hasa baada ya Freeman Mbowe kudhoofishwa na hoja ya Ulambaji wa asali.
Huenda Freeman Aikael Mbowe akairejesha nguvu yake hasa baada ya kumbana Tundu Lissu kwenye hoja zake za kuropoka ropoka ikiwemo hoja yake ya kutaka kuligawa Taifa la Tanzania.
Tundu LIssu, Freeman Mbowe na John Heche ndio wanachama wanaopewa nafasi kubwa ya kuiongoza CHADEMA kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Ule Uchaguzi Mkuu wa Mwakani.
Je, Baada ya yote CHADEMA kutoka salama au tutarajie CHADEMA kutoka vipande vipande kama ilivyokuwa kwa NCCR, CUF na hata TLP?
#Tuupe muda muda tuone.
chadema ipo jana, leo na itakuwepo.

Malipo yote ni sawa kama waliolipwa viongozi wako!Mnalipwa kijinga sana!
Usilie, Mambo badoMalipo yote ni sawa kama waliolipwa viongozi wako!