The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Joined 26 April 2024
Natangaza kukudharau milele
Ni PAKA wa Lumumba hao wamesajiliwa kuja kuharibu JUKWAA letu ....!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Joined 26 April 2024
Natangaza kukudharau milele
Mod Kuna Domo kaya huku mlishighulikie Lina jamba hovyo hovyoKwani Chadema Tanzania ni Wewe tu Boni?
Wakati Lissu anaamini mwenyekiti wake Bw Freeman Aikael Mbowe analamba asali toka Kijiji Cha Nyuki kilichopo huko Singida,
Tayari Kuna taarifa za chini chini kuwa asali pia inalambwa na baadhi ya wajumbe wa Kamati kuu ambao mara nyingi wamejitanabaisha kama vijana imara na watu wasiopenda rushwa Wala Ufisadi.
Wakati Mbowe anashambuliwa kulamba asali taarifa zisizo rasmi yeye anatumia gape la Lissu kumnanga Rais Samia hasa kualikwa na BAWACHA kama silaha ya kumdhoofisha katika hoja yake hiyo ya kulamba asali.
Kabla ya Kamati kuu hii ni Lissu pamoja na John Heche ndio walionekana kuwa na nguvu ya kutwaa nafasi ya Uenyekiti wa Taifa hasa baada ya Mbowe kudhoofishwa na hoja ya Ulambaji wa asali.
Huenda Mbowe akairejesha nguvu yake hasa baada ya kumbana Lissu kwenye hoja zake za kuropoka ropoka hasa kwa hoja yake mbaya ya kutaka kuligawa Taifa la Tanzania.
LIssu, Mbowe na Heche ndio wanachama wanaopewa nafasi kubwa ya kuiongoza CHADEMA kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Ule Uchaguzi Mkuu wa Mwakani.
Je, Baada ya yote CHADEMA kutoka salama au tutarajie kutoka vipande vipande?
#Tuupe muda muda tuone.
Ninakumbuka wakati Chadema inapitishwa kwenye mapito yake CCM walisema na kutuaminisha Chadema ya Wachaga upepo ukapita, wakasema ya kasikazini upepo ukapita, wakasema ya wakristo ingawa nakumbuka kuna kipindi Mkapa alikuwa mwenyekiti, Mangula, Jackson Msome nk hatukusema CCM ni ya kikristo. Ukafika muda baada ya tukio moja nakumbuka Arusha wakasema Chadema imejilipua oh ni ya kigaidi. Sasa hv wanatengeneza lugha mpya eti tukate tamaa. HATUKATI. Mti wenye matunda ndo unaopigwa mawe. Haujiulizi vyama vingine vipo c wavishambulie hivyo?Hawa lazima wapasuane Kila mmoja anataka asili nyingi iwe yake.
Tanzania hakuna Upinzani
Upinzani utatoka CCM TU
Mtasema yoteNinakumbuka wakati Chadema inapitishwa kwenye mapito yake CCM walisema na kutuaminisha Chadema ya Wachaga upepo ukapita, wakasema ya kasikazini upepo ukapita, wakasema ya wakristo ingawa nakumbuka kuna kipindi Mkapa alikuwa mwenyekiti, Mangula, Jackson Msome nk hatukusema CCM ni ya kikristo. Ukafika muda baada ya tukio moja nakumbuka Arusha wakasema Chadema imejilipua oh ni ya kigaidi. Sasa hv wanatengeneza lugha mpya eti tukate tamaa. HATUKATI. Mti wenye matunda ndo unaopigwa mawe. Haujiulizi vyama vingine vipo c wavishambulie hivyo?
heheee mwenyekiti kalamba rushwa na wengine wenye nguvu wamelamba rushwa bado unajisifu mna chama chenye viongozi wasafi hapo?Ninakumbuka wakati Chadema inapitishwa kwenye mapito yake CCM walisema na kutuaminisha Chadema ya Wachaga upepo ukapita, wakasema ya kasikazini upepo ukapita, wakasema ya wakristo ingawa nakumbuka kuna kipindi Mkapa alikuwa mwenyekiti, Mangula, Jackson Msome nk hatukusema CCM ni ya kikristo. Ukafika muda baada ya tukio moja nakumbuka Arusha wakasema Chadema imejilipua oh ni ya kigaidi. Sasa hv wanatengeneza lugha mpya eti tukate tamaa. HATUKATI. Mti wenye matunda ndo unaopigwa mawe. Haujiulizi vyama vingine vipo c wavishambulie hivyo?
Huyu creche usajili mpyaa LumumbaJoined 27 April 2024, sasa mnapojiunga someni sheria za JF, Zinakataza kutaja majina ya watu humu jf, kibaya zaidi wewe unataja uongo
mnaona aibu basi tu mnajikaza wala rushwa nyieHuu umburumundu unaandika na njaa ya buku7
Aiseee ni hatari sana, Kumbe mpaka Heche yumo?chadema sasahivi kuna tatizo ila chawa wa chadema hawataki kukubali tu hivi kam amakamu anamwambia mwenyekiti kala rushwa kuna nini tena hapo unamvua nguo mwenyekiti yaani lissu hana adabu hata kidogo sasa na wale walikuwaga wanaongea kama watu safi kweli kina heche nao wala rushwa jamani halafu mnataka kushika dola kwa majaribio kweli are you serious chadema?
msigwa na sugu wote wamelamba na wana kubali sasa mbowe tu ndiyo kakaa kimyaAiseee ni hatari sana, Kumbe mpaka Heche yumo?
Wakati unaendelea na kuwananga chadema!!?hoja zake mmezijibu!!?
Wakati Tundu Lissu akiwa anaamini mwenyekiti wake Bw Freeman Aikael Mbowe analamba asali toka Kijiji Cha Nyuki kilichopo huko Singida,
Tayari Kuna taarifa za chini chini kuwa asali pia inalambwa na baadhi ya wajumbe wa Kamati kuu ambao mara nyingi wamejitanabaisha kama vijana imara na watu wasiopenda rushwa wala Ufisadi.
Wakati Freeman Aikael Mbowe anashambuliwa kulamba asali taarifa zisizo rasmi yeye anatumia mwanya wa Tundu Lissu kumnanga Rais Samia hasa kualikwa na BAWACHA kama silaha ya kumdhoofisha katika hoja yake hiyo ya kulamba asali.
Kabla ya Kamati kuu hii ni Tundu Lissu pamoja na John Heche ndio walionekana kuwa na nguvu ya kutwaa nafasi ya Uenyekiti wa Taifa hasa baada ya Freeman Mbowe kudhoofishwa na hoja ya Ulambaji wa asali.
Huenda Freeman Aikael Mbowe akairejesha nguvu yake hasa baada ya kumbana Tundu Lissu kwenye hoja zake za kuropoka ropoka ikiwemo hoja yake ya kutaka kuligawa Taifa la Tanzania.
Tundu LIssu, Freeman Mbowe na John Heche ndio wanachama wanaopewa nafasi kubwa ya kuiongoza CHADEMA kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Ule Uchaguzi Mkuu wa Mwakani.
Je, Baada ya yote CHADEMA kutoka salama au tutarajie CHADEMA kutoka vipande vipande kama ilivyokuwa kwa NCCR, CUF na hata TLP?
#Tuupe muda muda tuone.
Achana na katiba kama ni majizi hata mkipewa Katiba bado ni majizi tuWakati unaendelea na kuwananga chadema!!?hoja zake mmezijibu!!?
Katiba imepatikana!?
Maana katiba mpya siyo ajenda alioianzisha chadema Bali ni sisi CCM na fedha za walipa Kodi tukala na katiba Hadi leo haijapatikana!!
Tuache uhuni tujitathmini sisi kama sisi tunatosha Kwa wananchi!!?au tusubiri mbeleko ya Dola na jeshi la polisi!!?
Tujibu hoja zake za Muungano na Katiba mpya tuache uhuni was kuwananga wapinzani!!
Ccm ndio
Majizi yapi!!?sisi ccm Kwa mujibu was ripoti ya CAG kaitaja chadema!!?Achana na katiba kama ni majizi hata mkipewa Katiba bado ni majizi tu
Tuupe muda muda tuone.
Fisi endelea kusubiri mkono udondoke,jambo ambalo halitakaa litokee