kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Watu wanagawana mbao fanya uwahi hata bawaba tu!Usilie, Mambo bado
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanagawana mbao fanya uwahi hata bawaba tu!Usilie, Mambo bado
Kuna sehemu kamtaja Eliza?Joined 27 April 2024, sasa mnapojiunga someni sheria za JF, Zinakataza kutaja majina ya watu humu jf, kibaya zaidi wewe unataja uongo
Hata Mimi nashangaa Chama kina mtu mmoja tu jf 😂😂
Unacheza na kuwekwa kati na wale wachagga waliojazana pale kwenye chama?Mzee Mbowe,Lema ,Mrema hawa wote ni viongozi wa juu wa chama ,embu fikiria hadi Mnyika leo hii kafanikwa na Mrema ambae mke wake ni kutoka ukoo akina mboweWagombea wa LISU wana hali mbaya
mrejeshee hela alizokopesha chama ndio utakuwa na uhalali wa kutaka kumpumzishaMbowe apumzike sasa
Mambo ni mengi sana
Wakati Tundu Lissu akiwa anaamini mwenyekiti wake Bw Freeman Aikael Mbowe analamba asali toka Kijiji Cha Nyuki kilichopo huko Singida,
Tayari Kuna taarifa za chini chini kuwa asali pia inalambwa na baadhi ya wajumbe wa Kamati kuu ambao mara nyingi wamejitanabaisha kama vijana imara na watu wasiopenda rushwa wala Ufisadi.
Wakati Freeman Aikael Mbowe anashambuliwa kulamba asali taarifa zisizo rasmi yeye anatumia mwanya wa Tundu Lissu kumnanga Rais Samia hasa kualikwa na BAWACHA kama silaha ya kumdhoofisha katika hoja yake hiyo ya kulamba asali.
Kabla ya Kamati kuu hii ni Tundu Lissu pamoja na John Heche ndio walionekana kuwa na nguvu ya kutwaa nafasi ya Uenyekiti wa Taifa hasa baada ya Freeman Mbowe kudhoofishwa na hoja ya Ulambaji wa asali.
Huenda Freeman Aikael Mbowe akairejesha nguvu yake hasa baada ya kumbana Tundu Lissu kwenye hoja zake za kuropoka ropoka ikiwemo hoja yake ya kutaka kuligawa Taifa la Tanzania.
Tundu LIssu, Freeman Mbowe na John Heche ndio wanachama wanaopewa nafasi kubwa ya kuiongoza CHADEMA kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Ule Uchaguzi Mkuu wa Mwakani.
Je, Baada ya yote CHADEMA kutoka salama au tutarajie CHADEMA kutoka vipande vipande kama ilivyokuwa kwa NCCR, CUF na hata TLP?
#Tuupe muda muda tuone.
chadema sasahivi kuna tatizo ila chawa wa chadema hawataki kukubali tu hivi kam amakamu anamwambia mwenyekiti kala rushwa kuna nini tena hapo unamvua nguo mwenyekiti yaani lissu hana adabu hata kidogo sasa na wale walikuwaga wanaongea kama watu safi kweli kina heche nao wala rushwa jamani halafu mnataka kushika dola kwa majaribio kweli are you serious chadema?
Kamanda umetishaTatizo wapiga propaganda wa CCM wapo low sana kiakili. Hivyo hata propaganda zao zinafanyika kwa kuashiria uwezo mdogo wa akili.
Fikiria kuna punguani humu walifikia mpaka kusema eti Lisu muda wowote anatangaza kuihama CHADEMA. Kuna wendawazimu wengine wakatoka huko wakasema eti kuna ugomvi kati ya Mbowe na Lisu!! Watu wawe na ugomvi halafu kila siku wapange ratiba za mikutano, wapeane taarifa za mikutano yao! Hata mwenye akili ndogo kabisa atajua kuwa mleta habari siyo tu ni mwongo bali hana hata akili ya kuutengeneza uwongo.
Punguani wengine wanasema kuwa eti Lisu kamshambulia Mbowe kuwa amepokea rushwa, ukiwaambia hao punguani walete quotation hata moja tu ya Lisu kuyatamka hayo, wanaanza hadithi.
CCM badala ya kupevuka inazidi kuwa takataka kutokana na kuwatumia watu wajinga, wenye akili ndogo, punguani na wanafiki, kukitetea chama. Ukitetewa na jambazi, ni rahisi na wewe unayetetewa kufikiriwa ni jambazi.
Matumizi ya pesa kwenye chaguzi za ndani kinyume na taratibu, imefahamika wazi pesa ilitoka kwa COVID 19, nao walizipokea pesa hizo toka mamlaka za juu za CCM ili kupenyeza viongozi mamluki wa CCM. Hili limebainika. Na taarifa za uhakika zilitolewa na baadhi ya waliopewa pesa lakini wenye misimamo thabiti, waliowauza watoa pesa. Waliopokea pesa wamefaidika na pesa chafu, waliotoa wamepoteza. Nawapongeza CHADEMA kwa umakini huo.
Mafisiem mtasubiri sana
Wakati Tundu Lissu akiwa anaamini mwenyekiti wake Bw Freeman Aikael Mbowe analamba asali toka Kijiji Cha Nyuki kilichopo huko Singida,
Tayari Kuna taarifa za chini chini kuwa asali pia inalambwa na baadhi ya wajumbe wa Kamati kuu ambao mara nyingi wamejitanabaisha kama vijana imara na watu wasiopenda rushwa wala Ufisadi.
Wakati Freeman Aikael Mbowe anashambuliwa kulamba asali taarifa zisizo rasmi yeye anatumia mwanya wa Tundu Lissu kumnanga Rais Samia hasa kualikwa na BAWACHA kama silaha ya kumdhoofisha katika hoja yake hiyo ya kulamba asali.
Kabla ya Kamati kuu hii ni Tundu Lissu pamoja na John Heche ndio walionekana kuwa na nguvu ya kutwaa nafasi ya Uenyekiti wa Taifa hasa baada ya Freeman Mbowe kudhoofishwa na hoja ya Ulambaji wa asali.
Huenda Freeman Aikael Mbowe akairejesha nguvu yake hasa baada ya kumbana Tundu Lissu kwenye hoja zake za kuropoka ropoka ikiwemo hoja yake ya kutaka kuligawa Taifa la Tanzania.
Tundu LIssu, Freeman Mbowe na John Heche ndio wanachama wanaopewa nafasi kubwa ya kuiongoza CHADEMA kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Ule Uchaguzi Mkuu wa Mwakani.
Je, Baada ya yote CHADEMA kutoka salama au tutarajie CHADEMA kutoka vipande vipande kama ilivyokuwa kwa NCCR, CUF na hata TLP?
#Tuupe muda muda tuone.
Mbowe amwachie Heche chama kama anamwogopa Lissu

Ndoto hii uliota may 16, jee baada ya kuamka usingizini nini umegundua?

TrueMbowe amwachie Heche chama kama anamwogopa Lissu