Huenda kampeni ya kidigitali ya CHADEMA kuchangia pesa kwa mtindo wa tone tone ya imesitishwa au imesimama

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Kwasababu hakuna updates tena kama ilivyoarifiwa mapema na wahamasishaji wakati inaanza, kwamba walau kila baada ya wiki moja kutatolewa mrejesho wa maendeleo ya uchangiaji unavyokwenda.

Wadau wangependa kufahamu,
tangu itangazwe kupatikana milion64, na kuibuka changamoto ya eti fedha zilikua zinagoma kuingia tena kwenye line husika, kuna taarifa yoyote ya makusanyo ilitolewa?

Na kampeni bado ipo au imesitishwa kwa muda kwasababu malengo ya muda mfupi yamefikiwa?

Na ni kweli michngo ya tone tone ilikusudia kuchenga chuo na sio matumizi ya kuendesha chama?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Kwann usiwaulize viongoz wao ? Waandikie barua kuliko kuja na assumption ndogo ndogo
 
Hivi Tone tone ina utofauti gani na Join the chain,

Isije baadaye inaonekana chairman kapiga hela
 
Kwann usiwaulize viongoz wao ? Waandikie barua kuliko kuja na assumption ndogo ndogo
walisema hadharani kwamba watakua wanatoa updates kwa uwazi kila wiki, au sasa hivi taarifa za fedha hizo ni za siri?:pedroP:
 
Ndio maana kuna barua? Kuna namna ya kuwafikia kujua nn kinaendelea, is that simple shida ni nn?
 
Rais mpya wa Syria licha ya Kuwa Muasi.

Alisema haya maneno muhimu sana.

"Rebels don't build nations/institutes" akimaanisha lazima sasa wabadili mawazo yao na yasiwe tena mawazo ya Kiasi/harakati.

Chadema walikosea sana kuamini Chama chao ni Chama Cha Harakati, kinatakiwa kiongozwe na Mwanaharakati mkuu.

Duniani kila binadamu ana karama yake na ubora wake kwenye maeneo tofauti, ukiwa angalia Akina Lissu, Heche, Lema hawajawahi kuongoza biashara inayojulikana hili tuwapime uwezo wao wa Man/money management... Kikombe hiki Chadema walichagua kukinywa acha wanywe
 
Kwasababu hakuna updates tena kama ilivyoarifiwa mapema na wahamasishaji wakati inaanza, kwamba walau kila baada ya wiki moja kutatolewa mrejesho wa maendeleo ya uchangiaji unavyokwenda.

Wadau wangependa kufahamu,
tangu itangazwe kupatikana milion64, na kuibuka changamoto ya eti fedha zilikua zinagoma kuingia tena kwenye line husika, kuna taarifa yoyote ya makusanyo ilitolewa?

Na kampeni bado ipo au imesitishwa kwa muda kwasababu malengo ya muda mfupi yamefikiwa?

Na ni kweli michngo ya tone tone ilikusudia kuchenga chuo na sio matumizi ya kuendesha chama?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Pocket zimesha jaa hawana habari na mtu tena, ujulishwe inakuhusu nini?, deal done!
 
Kwasababu hakuna updates tena kama ilivyoarifiwa mapema na wahamasishaji wakati inaanza, kwamba walau kila baada ya wiki moja kutatolewa mrejesho wa maendeleo ya uchangiaji unavyokwenda.

Wadau wangependa kufahamu,
tangu itangazwe kupatikana milion64, na kuibuka changamoto ya eti fedha zilikua zinagoma kuingia tena kwenye line husika, kuna taarifa yoyote ya makusanyo ilitolewa?

Na kampeni bado ipo au imesitishwa kwa muda kwasababu malengo ya muda mfupi yamefikiwa?

Na ni kweli michngo ya tone tone ilikusudia kuchenga chuo na sio matumizi ya kuendesha chama?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Tone Tone ya Chadema mwezi wa pili Wana milioni 64. Mwijaku siku moja kachangisha milioni 700! Kuna tatizo Chadema hawataki tu kulisema!
 
Kwasababu hakuna updates tena kama ilivyoarifiwa mapema na wahamasishaji wakati inaanza, kwamba walau kila baada ya wiki moja kutatolewa mrejesho wa maendeleo ya uchangiaji unavyokwenda.

Wadau wangependa kufahamu,
tangu itangazwe kupatikana milion64, na kuibuka changamoto ya eti fedha zilikua zinagoma kuingia tena kwenye line husika, kuna taarifa yoyote ya makusanyo ilitolewa?

Na kampeni bado ipo au imesitishwa kwa muda kwasababu malengo ya muda mfupi yamefikiwa?

Na ni kweli michngo ya tone tone ilikusudia kuchenga chuo na sio matumizi ya kuendesha chama?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
SIKILIZA WEWE CHAWA ,TUNAOCHANGIA TUNAJUA KUWA KUNA MFUMO WA KUJIRUDIA.JANA KWENYE M-PESA YANGU NILICHANGIA AUTOMATICALY KWA KUWA NILISET KUWA KILA MWEZI LAZIMA NICHANGIA CHADEMA TSH 100000
 
CHAWA BADO TU HUJAACHA UMALAYA WA KISIASA?NAKUHURUMIA UTAKUFA KIFO KIBAYA SANA
Chawa ni nani?

Chawa ni mdudu ambaye hukaa sehemu mwa mtu au nguo chafu.

Mimi ni binadamu mwenye akili timamu nimehoji na kutoa maoni yangu

Ningependa nijibiwe kwa hoja
 
Kuna uwezekano likaitishwa mwezi usiojulikana mwaka ujao 2026, kwakua hivi sasa hali ya kiuchmi ndani ya Chadema si shwari, na hairususu kuitisha mkutano wowote wa kitaifa, na hata tone tone kibakuli mikutanoni ni kidunchu sana, kiasi ambacho hakitoshelezi hata posho tu kwa viongozi waliopo kwenye hiyo mikutano huko mikoani, wala kuwalipa posho mawakili wanaoitetea chadema mahakamani.

Kwa mfano mkoa wa Arusha yenye wilaya zaidi ya5 walipata michango ya tone tone milioni1.3, mkoa wa Dodoma yenye wilaya zaidi ya5, zilipatokana milioni 2.3 za tone tone, huku miokoa mingine ikiwa ni aibu hata kutaja walichochangia, na ratiba ya mikutano inaisha na hiyo pesa inaishia kwenye kugawana posho, kwasababu kwenye msafara jumla ya viongozi wapo zaidi ya 22, watagawana kiasi gani wajitosheleze?

Kwahiyo pesa ndio hasa kitendawili kikiuu na mtihani mgumu kwa chadema na kufanya mkutano wa baraza kuu kuwa kizungumkuti kufanyika mwaka huu 2025. Kumbuka,
ubatili wa baadhi ya viongozi watendaji chadema ndio pia umesababisha ombwe la uongozi ambao umeimefanya chadema kukosa sifa za kuaccess ruzuku yake kwa mujibu wa sheria.

kama mdau wa siasa humu jukwaani,
una maoni gani kuwasaidia Chadema kujinasua kwenye mkwamo huo wa kiuchumi wa fedheha sana? :putinWalk:

Mungu Ibariki Tanzania
 
Kwasababu hakuna updates tena kama ilivyoarifiwa mapema na wahamasishaji wakati inaanza, kwamba walau kila baada ya wiki moja kutatolewa mrejesho wa maendeleo ya uchangiaji unavyokwenda.

Wadau wangependa kufahamu,
tangu itangazwe kupatikana milion64, na kuibuka changamoto ya eti fedha zilikua zinagoma kuingia tena kwenye line husika, kuna taarifa yoyote ya makusanyo ilitolewa?

Na kampeni bado ipo au imesitishwa kwa muda kwasababu malengo ya muda mfupi yamefikiwa?

Na ni kweli michngo ya tone tone ilikusudia kuchenga chuo na sio matumizi ya kuendesha chama?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
wewe mbona unahangaika na chama ambacho mmekizuia kufanya siasa

sasa hivi hamisha mihemuko yako chama cha ubwabwa na maharage na vingine vinavyofanana na hivyo
 
jukumu langu muhimu ni kueleza ukweli tu jukwaani dhidi ya mambo ya msingi tu gentleman :NoGodNo:
 
Back
Top Bottom