Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Mtaka yote kwa pupa, hukosa yote, na usiache mbachao kwa msala upitao.
Kwa mazingira yaliyopo mpaka sasa, na kwa namna ambavyo hana mpango mikakati wowote wa kushinda uchaguzi huo zaidi ya kupumbazwa na mitandao ya kijamii.
Na ukimya wa chairman Mbowe dhidi yake na uchaguzi kwa ujumla, umempa kiwewe na mawenge zaidi. Lakini zaidi sana, kauli za baadhi ya wenyeviti wa kanda za kiutawala zimemstua na kumpumbaza zaidi kiasi kwamba hana anachoweza kukifanya kwa sasa
Ni wazi,
Tundu Antipas Lisu, hata subiri fedheha na aibu ya kushindwa vibaya siku ya uchaguzi, badala yake atajiengua mapema kukwepa dhihaka na udhalilishaji atakaoupata kwenye sanduku la kura, utakaofanywa na wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa Chadema waliojipanga na kupania kumchagua Freeman Aikaeli Mbowe.
Baadhi ya wajumbe wa kanda, mikoa na wilaya, wengi wao wameanza kumkwepa Lisu na kujitenga nae kabisa japo yeye analazimisha na kujisogeza kwao kinafiki.
Katika kujiengua kwake,
atasingizia rafu wanazofanyiwa wafuasi wake kabla ya kampeni, rushwa, ubaguzi na viashiria na mipango ya udanganyifu kwenye uchaguzi huo, vitu ambavyo sio vya kweli na hayupo wa kufanya hivyo ndani ya Chadema hii iliyogawanyika.
Tundu Lisu hatachaguliwa kwasababu ya mashaka ya nidhamu na uzalendo wake kwa wajumbe, hata chaguliwa kwasababu ya mashaka ya uraia wake kwa chama na taifa, maana inasemekana tayari ana uraia zaidi ya nchi moja, kitu ambacho ni kinyume chake sheria za nchi, hata chaguliwa kwasababu ya dhamira na nia yake inayotiliwa shaka, na kwamba yeye ni kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, ana nia ya kuleta ukoloni mambo leo Tanzania n.k.
So,
kabla ya uchaguzi muungwana ataachia ngazi kwasababu Chadema wamemshtukia mapema dhamira na nia zake ovu.
Ukilikoroga lazima uliywe.🐒
Mungu Ibariki Tanzania