Huenda Lissu akajiengua mapema kabla ya uchaguzi wa CHADEMA kukwepa aibu na fedheha za kushindwa vibaya sana uchaguzi wa ndani wa chama

KAMA MBOWE ATAENDELEA CHAMA KITAENDELEA KUONEKANA CHA KIKABILA NA UKANDA, KWA MAENDELEA NA NGUVU ZA UPINZANI TWENDE NA LISSU KWA SURA YA CHAMA CHA KITAIFA NA BILA UKABILA.
 
Kwani nawe utajiengua ama?
 
Machawa na wachagga wale wajinga wanamsapoti Mzee Mbowe ,tulieni Lissu awashikishe adabu na hakuna namna
Mwenyewe ni mjinga mjinga flan hivi, ila ni wakati sahihi wa Mbowe kumwachia mwingine, hata kwa muda flan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…