Huenda Lissu akajiengua mapema kabla ya uchaguzi wa CHADEMA kukwepa aibu na fedheha za kushindwa vibaya sana uchaguzi wa ndani wa chama

Uchaguzi wa CHADEMA wanaopiga mayowe ni CCM

Nchi ngumu hii
Gentleman,
kama wabobevu wa masula ya vyama vya siasa lazima kudigest, kudisect na kupredict outcomes za uchaguzi huo kwa wadau , kwa wakati muafaka na kwa usahihi 🐒
 
Mleta mada wewe ni ccm yanakuhusu nn ya CHADEMA?
 
Ila kwann hili swala ni Kama mmelibeba sana wale ambao sio CDM? Huruma hii kwake inatoka wapi labda!
kama mtaalamu ni lazima kulieleza hili kama somo kwa wanasiasa, hasa chipkizi kwamba siasa ni mipango mikakati na siasa ni mahesabu makali,

sio pupa, makelele na mdomo tu 🐒
 
Bado huenda zinaendelea... Sijui zimeshafika mia ngapi huko🤣🤣🤣 halafu zote feki
 
Mleta mada wewe ni ccm yanakuhusu nn ya CHADEMA?
mimi ni mtaalamu mbobevu wa masula ya siasa za vyama,

naeleza haya kinagaubaga,
ili walau kuwapa wadau na wanasiasa chipkizi, uelewa na ufahamu dhidi ya athari za tamaa, makelele, mdomo na pupa kwenye siasa...

na kuwaelekeza kwamba siasa ni mipango mikakati, na siasa ni sayansi na mahesabu muhimu hasa nyakati za uchaguzi.

na haya nafanya sio kwa ubaya ila ni kwa faida ya wadau JF🐒
 
kama mtaalamu ni lazima kulieleza hili kama somo kwa wanasiasa, hasa chipkizi kwamba siasa ni mipango mikakati na siasa ni mahesabu makali,

sio pupa, makelele na mdomo tu 🐒
Mambo ya chipukizi yapo ila sio kote na siku hizi hayatiliwi maanani sana. Hulka zetu Kama wanadamu hazifanani. Unamuona Donald Trump? 😀 Anazungumzia sana ile ndivyo yeye alivyo na Biden je? Watu hatufanani
 
Bado huenda zinaendelea... Sijui zimeshafika mia ngapi huko🤣🤣🤣 halafu zote feki
uzuri JF hakifutiki kitu,
haya ni mambo ya kitaalamu sana gentleman,

na kutokea ni suala la muda tu ambalo halihitaji mashaka sana, inaweza kutokea wakati wowote, ni muhimu sana kuzingatia hiyo, but jambo la maana sana ni kwamba muungwana atajiengua before election🐒
 
Mtaka yote kwa pupa, hukosa yote, na usiache mbachao kwa msala upitao.

Kwa mazingira yaliyopo mpaka sasa, na kwa namna ambavyo hana mpango mikakati wowote wa kushinda uchaguzi huo zaidi ya kupumbazwa na mitandao ya kijamii.

Na ukimya wa chairman Mbowe dhidi yake na uchaguzi kwa ujumla, umempa kiwewe na mawenge zaidi. Lakini zaidi sana, kauli za baadhi ya wenyeviti wa kanda za kiutawala zimemstua na kumpumbaza zaidi kiasi kwamba hana anachoweza kukifanya kwa sasa

Ni wazi,
Tundu Antipas Lisu, hata subiri fedheha na aibu ya kushindwa vibaya siku ya uchaguzi, badala yake atajiengua mapema kukwepa dhihaka na udhalilishaji atakaoupata kwenye sanduku la kura, utakaofanywa na wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa Chadema waliojipanga na kupania kumchagua Freeman Aikaeli Mbowe.

Baadhi ya wajumbe wa kanda, mikoa na wilaya, wengi wao wameanza kumkwepa Lisu na kujitenga nae kabisa japo yeye analazimisha na kujisogeza kwao kinafiki.

Katika kujiengua kwake,
atasingizia rafu wanazofanyiwa wafuasi wake kabla ya kampeni, rushwa, ubaguzi na viashiria na mipango ya udanganyifu kwenye uchaguzi huo, vitu ambavyo sio vya kweli na hayupo wa kufanya hivyo ndani ya Chadema hii iliyogawanyika.

Tundu Lisu hatachaguliwa kwasababu ya mashaka ya nidhamu na uzalendo wake kwa wajumbe, hata chaguliwa kwasababu ya mashaka ya uraia wake kwa chama na taifa, maana inasemekana tayari ana uraia zaidi ya nchi moja, kitu ambacho ni kinyume chake sheria za nchi, hata chaguliwa kwasababu ya dhamira na nia yake inayotiliwa shaka, na kwamba yeye ni kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, ana nia ya kuleta ukoloni mambo leo Tanzania n.k.

So,
kabla ya uchaguzi muungwana ataachia ngazi kwasababu Chadema wamemshtukia mapema dhamira na nia zake ovu.

Ukilikoroga lazima uliywe.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Chawa chawa
 
Mkuu, huyo kujiengua ni ndoto zako za mchana. Ufahamu kwamba yeye anajua anacho kifanya, Mwenyekiti wake pia anajua kinacho fanyika; hivyo Mwenyekiti mpya atapatikana, kistaarabu sana na sio kama ule uchaguzi uliopita.
 
Ccm mmejibrand kama watu wa hovo, fitina,chuki, wezi, wachawi, wachonganishi, roho mbaya,

Hampendi kuona kitu kizuri kinazaliwa
Hampendi maendeleo
Hampendi demokrasia

Nyie Kila kitu ni fitinatu
 
kitaalamu mie naelezea siasa za ndani ya chadema iliyogawanyika na sio ndoto za mtu..

Hakunaga uchaguzi wa ndani ya Chadema ulowahi kupita kwa utulivu bila kuwepo vibwengo 🐒
 
Yes,
ameomba kwa tamaa na uchu wa madaraka sana, na kuamua kuuacha umakamu mwenyekiti ambao angeupata kirahisi sana,

hii ndiyo ile inaitwa mtaka yote kwa pupa hukosa yote 🐒
Haki yake ya Kikatiba kuomba nafasi yo yote!
 
Ccm mmejibrand kama watu wa hovo, fitina,chuki, wezi, wachawi, wachonganishi, roho mbaya,

Hampendi kuona kitu kizuri kinazaliwa
Hampendi maendeleo
Hampendi demokrasia

Nyie Kila kitu ni fitinatu
gentleman,
chuki binafsi na makasiriko sio jambo la maana kwenye siasa.

infact hakuna uadui wa kudumu kwenye siasa.

hata hivyo,
kitaalama mimi ni mchambuzi wa siasa za vyama vya siasa, na kwahivyo masuala ya chuki, fitina, uchonganishi na makasiriko binafsi hayana nafasi katika maelezo yangu, na mambo kama hayo ni useless na completely nonsense kwenye chambuzi zangu za kibobevu kwa faida ya wadau JF 🐒
 
Haki yake ya Kikatiba kuomba nafasi yo yote!
hajakatazwa na yeyote gentleman, ila ile tamaa, uchu na mdomo ndio lesson kubwa mno kwa wanasiasa wanaochipkia ..

Ni muhimu sana kutumia haki zetu kwa hekima na busara bila tamaa 🐒
 
Gentleman,
kama wabobevu wa masula ya vyama vya siasa lazima kudigest, kudisect na kupredict outcomes za uchaguzi huo kwa wadau , kwa wakati muafaka na kwa usahihi 🐒
Chawa na ubobezi wapi na wapi?

Wahi hospitali wakufanyie brain restoration
 
muerevu,
kwamba hapo ndio umeeleza pwaintiiii ya maana sana na kingereza mingi dhidi ya hoja mahususi mezani, right?🤣

haya mambo si ya kuvamia ndrugu zango inahitaji umakini na bongo kali 🐒
 
Haya😀😀
 
Back
Top Bottom