Huenda Mama Samia anawahitaji sana Watanzania wakati huu kuliko Wanavyomhitaji

Benson Mramba

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2013
Posts
766
Reaction score
1,884
Nimeamua kuvaa viatu vya mama Samia. Suppose aliyoyaandika huyu jamaa ni ya kweli. Unafikiri Mama Samia atafanya nini kwa Watanzania hawa ambao Mbowe alifilisiwa wakawa kimya, Lissu alipigwa risasi wakawa kimya, Mbowe akapewa kesi ya ugaidi kimya, Lissu kesi ya uhaini kimya, CEO nae kaondoka kimya kimya Je kama kweli anavyosema Mh. Polepole kuwa kuna wahuni sijui Futungo n.k
Dark days 17/03/20

Mama Samia amejitahidi kukamilisha miradi ya kimkakati lakini watu wengi hawajaridhika.

Huenda amekuwa akitamani kufanya makubwa zaidi lakini vikwazo vingi. Wakati Magufuli anafanya mambo yaliyokuwa yanaonekana ni makubwa muda mwingi alikuwa anasema kwa kusisitiza kuwa ameji sucrifiece maisha yake kwa ajili ya Watanzania na mwisho wa siku aliishia njiani huku kukiwa na viminong'ono nong'ono vingi

Sasa labda Mama ametaka kufanya mengi mengine ila vikwazo vikawa vingi.

Je kwa mfano alitaka kung'atuka lakini akaambiwa hapana? n.k

Tunaweza kumlaumu mtu kumbe amebeba uchungu mwingi na hasira moyoni kwake kwasababu ya mashinikizo mbalimbali.

Siasa ni kama series au movie. Kuna mambo mengi sana yanakuwaga behind the scene.

Tusihukumu sana maana hata kama ni wewe kama watu mabaya yakikukuta wanakausha Je utakuwa radhi kujitoa sadaka kirahisi.

Ipo misemo kama ile if you can't change them join them, I have family to feed n.k

Kuna series kama Elchappo na nyingine nyingi zinafundisha mambo mengi ya harakati za watawala na upinzani wanaokutana nao.

Nimeamua tu kuwaza tofauti
 
Mkuu vaa na ushungi na dera lake kabisa ila ukweli ni kwamba Samia ametukosea sana watanganyika tunaweza kumsamehe ila kwa mikataba kama ya DP world na Ngorongoro na kukithiri kwa mauaji na utekaji hatutamsahau kamwe.
 
Wewe ulikuwa chawa wa Magufuli .ulikuwa unaandika vizuri tu kwenye gazeti la Rai mara mzee ukalambishwa asali.
 
Huyu mama kwa uharamia mwingi alioufanya, siku akiondoka au kuondolewa, furaha kwa watanganyika itazidi ile ya uhuru mwaka 1961.

Fikiria ameteka na kuua makumi ya watu.
Amepora rasilimali zetu na kuwagawia waarabu.

Amekanyaga katiba ya nchi yetu na ya chama chake kwa kiwango cha kutisha.

Upendeleo wa ajabu kwa zanzibar na familia yake.

Kutaka kuua viongozi wa wakristo.

Kufuta makanisa.

Uporaji wa pesa za nchi na kuzitumia hovyo kwaajili ya kuwahonga wapiga kura.
 
Nimeamua kuvaa viatu vya mama Samia. Suppose aliyoyaandika huyu jamaa ni ya kweli. Unafikiri Mama Samia atafanya nini kwa Watanzania hawa ambao Mbowe alifilisiwa wakawa kimya, Lissu alipigwa risasi wakawa kimya, Mbowe akapewa kesi ya ugaidi kimya, Lissu kesi ya uhaini kimya, CEO nae kaondoka kimya kimya Je kama kweli anavyosema Mh. Polepole kuwa kuna wahuni sijui Futungo n.k
Dark days 17/03/20

Mama Samia amejitahidi kukamilisha miradi ya kimkakati lakini watu wengi hawajaridhika.

Huenda amekuwa akitamani kufanya makubwa zaidi lakini vikwazo vingi. Wakati Magufuli anafanya mambo yaliyokuwa yanaonekana ni makubwa muda mwingi alikuwa anasema kwa kusisitiza kuwa ameji sucrifiece maisha yake kwa ajili ya Watanzania na mwisho wa siku aliishia njiani huku kukiwa na viminong'ono nong'ono vingi

Sasa labda Mama ametaka kufanya mengi mengine ila vikwazo vikawa vingi.

Je kwa mfano alitaka kung'atuka lakini akaambiwa hapana? n.k

Tunaweza kumlaumu mtu kumbe amebeba uchungu mwingi na hasira moyoni kwake kwasababu ya mashinikizo mbalimbali.

Siasa ni kama series au movie. Kuna mambo mengi sana yanakuwaga behind the scene.

Tusihukumu sana maana hata kama ni wewe kama watu mabaya yakikukuta wanakausha Je utakuwa radhi kujitoa sadaka kirahisi.

Ipo misemo kama ile if you can't change them join them, I have family to feed n.k

Kuna series kama Elchappo na nyingine nyingi zinafundisha mambo mengi ya harakati za watawala na upinzani wanaokutana nao.

Nimeamua tu kuwaza tofauti
No blah blah
1753355423149.png
 
Unahisi vingora vinamchukiza mtu? Tunagandishwa barabarani tunaoenda kutafuta riziki ya siku kwa ajili ya kupita mtu mmoja ambaye tunamlipia kila kitu.
 
Amin, andiko zuri sana, umefikiria upande wa pili wa shilingi, "everybody is fighting there own battles".
 
Nimeamua kuvaa viatu vya mama Samia. Suppose aliyoyaandika huyu jamaa ni ya kweli. Unafikiri Mama Samia atafanya nini kwa Watanzania hawa ambao Mbowe alifilisiwa wakawa kimya, Lissu alipigwa risasi wakawa kimya, Mbowe akapewa kesi ya ugaidi kimya, Lissu kesi ya uhaini kimya, CEO nae kaondoka kimya kimya Je kama kweli anavyosema Mh. Polepole kuwa kuna wahuni sijui Futungo n.k
Dark days 17/03/20

Mama Samia amejitahidi kukamilisha miradi ya kimkakati lakini watu wengi hawajaridhika.

Huenda amekuwa akitamani kufanya makubwa zaidi lakini vikwazo vingi. Wakati Magufuli anafanya mambo yaliyokuwa yanaonekana ni makubwa muda mwingi alikuwa anasema kwa kusisitiza kuwa ameji sucrifiece maisha yake kwa ajili ya Watanzania na mwisho wa siku aliishia njiani huku kukiwa na viminong'ono nong'ono vingi

Sasa labda Mama ametaka kufanya mengi mengine ila vikwazo vikawa vingi.

Je kwa mfano alitaka kung'atuka lakini akaambiwa hapana? n.k

Tunaweza kumlaumu mtu kumbe amebeba uchungu mwingi na hasira moyoni kwake kwasababu ya mashinikizo mbalimbali.

Siasa ni kama series au movie. Kuna mambo mengi sana yanakuwaga behind the scene.

Tusihukumu sana maana hata kama ni wewe kama watu mabaya yakikukuta wanakausha Je utakuwa radhi kujitoa sadaka kirahisi.

Ipo misemo kama ile if you can't change them join them, I have family to feed n.k

Kuna series kama Elchappo na nyingine nyingi zinafundisha mambo mengi ya harakati za watawala na upinzani wanaokutana nao.

Nimeamua tu kuwaza tofauti
Rais wa Tanzania, kwa katiba tuliyonayo, ni kama namba mbili baada ya Mungu ambaye ni numero uno.
Nani anayeweza "kumshikilia mateka"!!??
 
Back
Top Bottom