Huenda Manchester City wakashindwa kutwaa hata EPL kwa kuvunjika moyo na matokeo ya UCL

Huenda Manchester City wakashindwa kutwaa hata EPL kwa kuvunjika moyo na matokeo ya UCL

Kitendo cha Manchester City kutolewa kwenye mashindano ya UCL kimewavunja moyo Sana kiasi kwamba huenda wakashindwa hata kuwa mabingwa wa EPL.

Inaumiza Sana ,ikiwa kila Takwimu zinawabeba,mumetangulia kwa goli hadi dakika ya 90 eti dakika za nyongeza mnafungwa magoli 3 na kutolewa.

Aisee hii comeback ya R.Madrid sijawahi kuiona.Binafsi ni shabiki wa Real Madrid ila nilitamani mwaka huu Manchester City wachukue hili kombe maana wamekuwa Wana struggle Sana kwa miaka nenda Rudi.

Ukisikia kwamba mpira ni ukatili ndio kama hivi sasa.

Wasipokaa sawa kisaikolojia wataipa Liverpool chance ya kuweka historian ambayo ni nadra Sana kutokea Duniani.

By the way Bora UCL title achukue Real Madrid .
Kosa la Mancity kuruhusu Madrid kupata goli nyingi ugenini. Ilikuwa wazi kwamba lazima pale Santiago Bernabeu , Mancity atoke.Mancity bado sana.

Kombe atachukua Liverpool hata km hupendi, Ila ndiyo ukweli wenyewe.Madrid atapigwa.
 
Sema Nini mkuu wewe ni shabiki wa man city ni vile ty hujajitambua vzuri ,njoo kwenye Uzi wetu kule Kuna mbwa nyingi za liverpool zinanizidia kabisa ,

Man city tunaendelea kukiwasha epl ,na jumapili tunaenda kumchalanga Newcastle
hao sawa, lkn UCL waachieni wanaume YNWA, huku bado sana.

YNWA 💪 YNWA 🔥
 
Yes, kwa kweli Manchester City wame - face the very painful experience huko Madrid jana..

Na ni kweli kabisa Madrid experience inaweza kuwatoa kwenye mood japo hata kabla ya hili ubingwa wa EPL bado ulikuwa 50/50 dhidi ya contender wao number 1 Liverpool FC..

Sasa possibility ya LIVERPOOL FC kuzoa makombe manne msimu huu (quadruple) Carabao, FA, EPL, UCL imekuwa ignited kwa 80%...

Tayari wameshatia kwenye kabati kombe moja la ligi (Carabao); wako Fainali ya FA na Chelsea FC; wako kwenye fainali ya UCL na Real Madrid na ni toe to toe na Man City kwenye EPL kwa tofauti ya point 👉👉 1 huku game 4 zikiwa zimebakia na City akiwa ameshavurugwa na kuchanganywa na matokeo ya MADRID jana ..
YNWA 💪 YNWA 🔥
 
Liverpool Hana uwezo hata WA Kuchukua hayo makombe 4 ,ataambulia mawili tu ..!
wale watoto wa Manchester City mlioanza kushabikia hii timu juzi baada ya mwarabu kuweka hela pale, hamjui mpira, hamjui Ni nn kinazungumzwa.

Chelsea atapigwa, Madrid atapigwa,

Sasa km Liverpool hana uwezo,basi mwenye uwezo ni Manchester United.

Unawaza kitoto sana.
 
wale watoto wa Manchester City mlioanza kushabikia hii timu juzi baada ya mwarabu kuweka hela pale, hamjui mpira, hamjui Ni nn kinazungumzwa.

Chelsea atapigwa, Madrid atapigwa,

Sasa km Liverpool hana uwezo,basi mwenye uwezo ni Manchester United.

Unawaza kitoto sana.
Huna uwezo wa kuchukua makombe manne mzee.
 
Kuna dalili za utabiri kutimia..

Hii Mechi ya Man C vs Ast.Vila inaweza isha kwa sare kama ile ya Westham..

Liver anaelekea atashinda
 
[emoji4]
IMG_20220222_153315.jpg
 
Back
Top Bottom