Lipi na lipi mkuu?Liverpool Hana uwezo hata WA Kuchukua hayo makombe 4 ,ataambulia mawili tu ..!
Kosa la Mancity kuruhusu Madrid kupata goli nyingi ugenini. Ilikuwa wazi kwamba lazima pale Santiago Bernabeu , Mancity atoke.Mancity bado sana.Kitendo cha Manchester City kutolewa kwenye mashindano ya UCL kimewavunja moyo Sana kiasi kwamba huenda wakashindwa hata kuwa mabingwa wa EPL.
Inaumiza Sana ,ikiwa kila Takwimu zinawabeba,mumetangulia kwa goli hadi dakika ya 90 eti dakika za nyongeza mnafungwa magoli 3 na kutolewa.
Aisee hii comeback ya R.Madrid sijawahi kuiona.Binafsi ni shabiki wa Real Madrid ila nilitamani mwaka huu Manchester City wachukue hili kombe maana wamekuwa Wana struggle Sana kwa miaka nenda Rudi.
Ukisikia kwamba mpira ni ukatili ndio kama hivi sasa.
Wasipokaa sawa kisaikolojia wataipa Liverpool chance ya kuweka historian ambayo ni nadra Sana kutokea Duniani.
By the way Bora UCL title achukue Real Madrid .
hili liko wazi mkuu, ndoo watachukua, sioni namna gani Madrid watawazuia wale jamaa.Liverpool anaweza kufanya maajabu akapiga treble.
hao sawa, lkn UCL waachieni wanaume YNWA, huku bado sana.Sema Nini mkuu wewe ni shabiki wa man city ni vile ty hujajitambua vzuri ,njoo kwenye Uzi wetu kule Kuna mbwa nyingi za liverpool zinanizidia kabisa ,
Man city tunaendelea kukiwasha epl ,na jumapili tunaenda kumchalanga Newcastle
YNWA 💪 YNWA 🔥Yes, kwa kweli Manchester City wame - face the very painful experience huko Madrid jana..
Na ni kweli kabisa Madrid experience inaweza kuwatoa kwenye mood japo hata kabla ya hili ubingwa wa EPL bado ulikuwa 50/50 dhidi ya contender wao number 1 Liverpool FC..
Sasa possibility ya LIVERPOOL FC kuzoa makombe manne msimu huu (quadruple) Carabao, FA, EPL, UCL imekuwa ignited kwa 80%...
Tayari wameshatia kwenye kabati kombe moja la ligi (Carabao); wako Fainali ya FA na Chelsea FC; wako kwenye fainali ya UCL na Real Madrid na ni toe to toe na Man City kwenye EPL kwa tofauti ya point 👉👉 1 huku game 4 zikiwa zimebakia na City akiwa ameshavurugwa na kuchanganywa na matokeo ya MADRID jana ..
wale watoto wa Manchester City mlioanza kushabikia hii timu juzi baada ya mwarabu kuweka hela pale, hamjui mpira, hamjui Ni nn kinazungumzwa.Liverpool Hana uwezo hata WA Kuchukua hayo makombe 4 ,ataambulia mawili tu ..!
wale watoto wa Manchester City mlioanza kushabikia hii timu juzi baada ya mwarabu kuweka hela pale, hamjui mpira, hamjui Ni nn kinazungumzwa.Liverpool Hana uwezo hata WA Kuchukua hayo makombe 4 ,ataambulia mawili tu ..!
Huna uwezo wa kuchukua makombe manne mzee.wale watoto wa Manchester City mlioanza kushabikia hii timu juzi baada ya mwarabu kuweka hela pale, hamjui mpira, hamjui Ni nn kinazungumzwa.
Chelsea atapigwa, Madrid atapigwa,
Sasa km Liverpool hana uwezo,basi mwenye uwezo ni Manchester United.
Unawaza kitoto sana.
Quadruple...Liverpool anaweza kufanya maajabu akapiga treble.
Fala mwenyewe fool mkubwa