Kwa mtazamo wangu ile game ya Yanga na Namungo ilikuwa iishe bila kufungana, ninaamini hivyo kwasababu ukiangalia ile game utaona jinsi Namungo walivyokuwa tayari wamefanikiwa kuwazuia Yanga hadi walikuwa wameshaanza kupaniki na walikosa utulivu katika kushambulia.
Ikawaje Yanga kupata goli???
Kwasisi tunaoamini kuwa Karma ipo basi ni dhahiri Namungo walinyang'anywa point 1 waliyopangiwa kutokana na KITENDO CHA UKATILI KILICHOFANYWA NA MCHEZAJI WAO ANAYEITWA MANYANYA. Huwa kuna rafu za bahati mbaya, rafu za makusudi ili kumzuia mchezaji asipite kwenda kusababisha goli , LAKINI RAFU YA MANYANYA ILIKUWA SIO YA KUMZUIA LOMALISA BALI ILIKUWA IMEBEBA CHUKI KUBWA NA UKATILI NDANI YA MOYO WA MANYANYA.
Ni kama zile rafu unakuta mchezaji kaanguka chini halafu anakuja mchezaji anamkanyaka Kichwani