Mnada wa Mhunze
Senior Member
- Mar 1, 2023
- 168
- 819
Ukimfuatilia mlolongo wa matukio kadha wa kadha ya hivi karibuni lazima mwanzoni mwa picha utamushuhudia Kitenge akiwaandaa watu kisaikolojia.
Mfano la Waarabu wa Loliondo na lile na Wamasai kule Ngorongoro Kitenge alitangulia kufanya kipindi cha kizushi.
Hili la Bandari tena Kitenge huyohuyo juzi kati inasemekana waarabu walimlipia kila kitu ili aende Asia huko kutuandaa na hili linalo trend.
Je, Maulid Kitenge ni Wakala wa waarabu?!