Huenda Maulid Kitenge ni wakala wa Mafisadi?

Kwanza sio mtu wa kumjadili hapa!
Ni mtu wa kumdharau kana wanavyodharauliwa wapuuzi wengine!
Ukimsikiliza hata ongea yake ndani ya vipindi na nje ya vipindi unagundua ni mtu cheap sana na asie creative ndio maana ununuzi kwake ukawa sawa na kununua parachichi ghengeni!
 
Umesahau kuwa kitenge ndio alimdhibiti yule jamaa aliyemtolea Nape bastola!? Huyo atakuwa afisa kipenyo wa ngazi za juu
Kama usalama wamefikia hatua kuchua watu wa namna hii ndio maana nchi ipo ktk hali ya mgonjwa wa malaria!
 
... Sio HUENDA ! NI....!
 
mi mwenyewe nikipata deal kama hiyo hata ya kumuuza mtu, achilia mbali bandari ,nafanya vizuri tu
maisha yenyewe mafupi
 
Kila mtu anaangalia tumbo lake

Ova
 
Amechanganyikiwa, atalaaniwa yeye na kizazi chake chote.
 
Chadema kupitia Tundu Lissu ndio walianza kuwadhalilisha hadharani kwa kuwataja Kitenge na Hando

mjifunze Siasa na uvumilivu …iweje iwe ruhusa kwenu kushambulia na haramu kwao kujibu mapigo
 
Ni lindaless
 
Hilo liko wazi. Kawaingiza mkenge na akina zembwela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…