Mechi ya pili 50-0Goli 46?
Duuuuh ni rede au? Samahanini wakuu nipo Burundi hivyo kinachoendelea hukoπ’π’π’Goli 46?
mfungaji wa nini mzee, wa misuli?Kwa matokeo ya mechi za juzi pale Zanzibar yamkini mfungaji bora akawa yupo Zanzibar lakini hatujui! Nawashauri ZFA watunze kumbukumbu vyema ikiwezekana wainggie mikataba na Azam Tv mpira wa Zanzibar uwe unaonyeshwa.
Timu imefungwa goli 46Duuuuh ni rede au? Samahanini wakuu nipo Burundi hivyo kinachoendelea hukoπ’π’π’
π³π³π³π³ππTimu imefungwa goli 46
Kwani hayo matokeo anayosema hayapo huko Pemba mkuu?Wabara wacheni kunanga soka la Zanzibar
mpira wa zenji sawa tu na mpira wa makaratasi tuliokuwa tunacheze utotoni. na ati wanataka ZFF.Yaani unafunga goal zako 30 mechi ya kwanza ya ligi then unasubiri wenzako wahangaike na over 15.5 mechi 34 babake.