Huenda mfungaji bora wa Dunia yupo Zanzibar lakini hatujui tu

Huenda mfungaji bora wa Dunia yupo Zanzibar lakini hatujui tu

Mpinzire

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
7,503
Reaction score
13,463
Kwa matokeo ya mechi za juzi pale Zanzibar yamkini mfungaji bora akawa yupo Zanzibar lakini hatujui! Nawashauri ZFA watunze kumbukumbu vyema ikiwezekana wainggie mikataba na Azam Tv mpira wa Zanzibar uwe unaonyeshwa.
 
Wazanzibar wana vipaji halisi kwenye soka....wachezaji wao huwa mafundi kweli huku bara hatuwafikii,sema hapo kwenye ligi yao ndio pabovu....warekebishe mwenendo wa ligi yao watafika mbali,ni ajabu timu kufungwa goli 50-0 hii inatakiwa iingie kwenye rekodi za kitabu cha guiness.
 
yap, unasema ukweli. hata samatta ni nzenji, na wazenji wengi sana wanacheza nje ya nchi hasa ulaya. si ndio? endelea kula urojo.
 
Yaani unafunga goal zako 30 mechi ya kwanza ya ligi then unasubiri wenzako wahangaike na over 15.5 mechi 34 babake.
mpira wa zenji sawa tu na mpira wa makaratasi tuliokuwa tunacheze utotoni. na ati wanataka ZFF.
 
Ndo maana Zanzibar wanadai kiti FIFA,mechi moja mtu anagoli 40!!
 
Kila goli 3 mpira mfungaji anapata mpira mmoja. Goli 50 mfungaji aliondoka na mipira 16.
 
Back
Top Bottom