Ze_Papirii
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 558
- 1,117
Habari wana JF,
Hivi karibuni nimejikuta nazishabikia timu za Simba na Yanga ambao ni mahasimu wakubwa zote kwa pamoja ambacho si kitu cha kawaida hasa kutokana na ushindani mkubwa wa hizi timu.
Binafsi nilianza kuishabikia Yanga kindakindaki tokea 2008 enzi za kina Kigi Makasi, Jerry Tegete, Abdi Kassim Babi etc ila kwenye miaka ya hivi karibuni nmekuwa mfuatiliaji mkubwa na shabiki pia wa Simba lakini pia bado naifatilia na kuishabikia Yanga.
Kikubwa kilichonfanya nianze kuishabikia Simba ni kufanya kwake vizuri Kimataifa, kuondoka kwa Haji Manara na uwepo wa huyu mwamba KIBU DENIS namuelewa sana huyu mpambanaji siyo kdogo..
Kiufupi nnamiliki Jezi za timu zote mbili na zote zikicheza lazma niende kuangalia watu wananishangaaga sana kitaa ila sina namna.
Sasa sijui Level ya ushabiki niliyopo ni ya aina gani maana nashndwa hata kuelewa aisee?