Huenda mimi nikawa Mtanzania pekee kuzishabikia Simba na Yanga zote kwa Pamoja

Sema huzishabikii timu hizo kwani huwezi kushabikia pande zote, kwa lugha fupi ni hufungamani na timu zote, ukishashbaikia unakuwa umefungamana nayom na siku timu hizo zikipambana utakuwa upande waa mshabaiki wa timu yako na kushangilia nao. Iwapo unadai unashabikia zote, weka hapa picha kuonyesha ukiwa unashangilia siku ya 5-G
 
Pale znapokutana ndo nakua neutral mzee sina upande ila zikicheza tofauti huwa nazikubali zote na niziombae zote ushindi kwa pamoja,, sjui kama umenipata hapo mkuu..
 
Pale znapokutana ndo nakua neutral mzee sina upande ila zikicheza tofauti huwa nazikubali zote na niziombae zote ushindi kwa pamoja,, sjui kama umenipata hapo mkuu..
Basi siyo shabiki bali hufungamani na timu yoyote, na hivyo unazikubali zote, lakini siyo shabiki.
 
Yanga na Kiggi Makassy?
 
Siyo ndani ya ligi moja. Ukipenda timu mbili ndani ya ligi ,oja basi wewe ni mpenzi wa mpira lakini siyo shabiki wa timu yoyote.
Sawaa mkuu nmekupata ila me npo kwny level ya ushabiki bdo
 
Wewe ndo umesema alicheza Yanga, mi nimeweka sanduku uthibitishe kama ni kweli. Kama unataka nikutajie nawe weka mzigo.
Aaahh sawaa banaa kuthbitisha tuu unataka chenji mzee
 
Huwezi kuwatumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja, We kama siyo kolo utakuwa mwananchi.
 
Hayo ni yaliyomo ndani ya ubongo wako, lakini katika moyo ipo timu moja tu. Either simba au Yanga, na kwa maelezo yako am sure ni Yanga
 
Hivi karibuni nimejikuta nazishabikia timu za Simba na Yanga ambao ni mahasimu wakubwa zote kwa pamoja ambacho si kitu cha kawaida hasa kutokana na ushindani mkubwa wa hizi timu.

Tupo wengi tu si wewe pekee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…