Huenda msimuone tena Okra uwanjani kwa miezi kadhaa au msimu mzima

wanasema jamaa alirudisha chenji uwanjani ati 😛 😛
 
Taarifa iliyotolewa na daktari wa Yanga Augustine Okra alipata Maumivu baada ya kugongana na mchezaji wa KVZ Hali iliyo sababisha mishipa laini ya puani kuchanika.
Baada ya kukimbizwa Hospitali na kufanyiwa uchunguzi wa kina imeonekana hakuna shida nyingine kubwa zaidi ya iyo mishipa laini ya puani na anategemewa baadae kuruhusiwa kutoka Hospitali.
 
Mashabiki wa hii timu nilidhani mnasingiziwa ukosefu wa akili.
 
kama hii taarifa ni ya kweli, nashauri daktari wa yanga afukuzwe kazi upesi tena haraka sana, nmeona picha mtandaoni okra akiwa amebebwa kwenye mechera kwa staili ya kulala chali (yaani kichwa kinaangalia mawingu kikawaida mtu anayetokwa damu puani huwezi kumuweka katika hiyo position, kingine kama alianza kutokwa damu akiwa hospitali huenda alipata intracranial pressure hivyo basi kama watajifanya wajuaji tegemeeni kumuona akianguka gafla tena uwanjani kama kuku wa ndondo
 
wewe hebu acha uongo,okra alitoka damu na aliumia mfupa wa pua
 
Punguza ujuaji fala wewe
 
'alipigwa kwenye paji la uso, ubongo wa mbele uliumia?" Unajaribu kututhibitishia kuwa unayo shahada japo haukusema ni ya nini, huu ni ushabiki usio na tija kwani ingetosha kusema aliumia.
 
Lile gari la mkaa sheikh Dutumi - Mzenga.
 
TUTAMWONA
 
Mkuu haya mambo umesomea au ni utundu tu mbona kama ulitupanga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…