Kuwa kiongozi mkuu wa muhimili mmoja mkubwa kati ya mitatu sio nafasi ndogo. Mzee alikuwa kwenye position ambayo kuna mambo lazima ayajue hata miezi, mwaka au miaka kadhaa kabla yetu sisi raia wa kawaida.
Kwa jinsi hali ilivyo kwa sasa, naanza kumuelewa alichokisema siku ile ambacho kilisababisha akapoteza nafasi yake. Huenda aliona mbali na hakutaka kushiriki huu udhalimu ndiyo maana wakamfanya walichomfanya.
Ukimya wa mrithi wake ndiyo hasa unaotia mashaka, maana pamoja na hali mbaya wanayopitia wananchi yeye kama kiongozi mkuu wa wawakilishi wa wananchi yupo kimyaaa.
Mawaziri nao ndiyo kabisaaaa wanatutukana live live kabisa, kwamba "Kama hatutaki tuhame nchi". Yani sisi wananchi tuhame nchi? Sisi wananchi? Sasa nadhani hajui kwamba kati ya uananchi na uwaziri kuna kimoja ni permanent na kimoja ni temporary.
Ndiyo maana nasema huenda Ndugai alikuwa anajua kinachopangwa na tunachoenda kukipitia wananchi. Japo na yeye huko nyuma alikuwa na makandokando mengi ila Mungu amuweke kwa kusimama kikataa kwenye jambo moja baya kati ya mengi.
Ndugai hakuwa na nia mbaya, ila hakueleweka. Alikuwa anatahadharisha. Bahati mbaya huyu Mgogo hajui kutumia lugha ya kiusanii kama wanavyofanya wengine.
Na kweli alivyosema maana Tozo zinazidi kuibuka na zimekuwa mtihani.
Masikini Ngugai.
Ndugai ni tapeli kama walivyo matapeli wenzake na wala siyo kuwa ana nia njema na sisi wananchi, kipindi cha jiwe mbona alikuwa kimya? sasahivi dili zote hashirikishwi anaona wenzake wanavyoitafuna nchi kiulaini
Sio huenda mkuu bali ndivyo jinsi hali ilivyokuwa, Ndugai alikwishajua mipango yote ambayo kwasasa inatekelezwa. Ile nafasi aliyokuwa nayo "Uspika" ni kubwa zan kiasi kwamba mipango yote kwa asilimia kubwa inapitia kwake.
Huoni sasahivi Mwigulu anaziruka Tozo zake, anasema kuwa hawezi kuzibadilisha kwasababu zilipitishwa na Bunge chini ya Spika na wabunge?
NB:Nchi kuuzwa ni swala la muda tu, mtasikia bandari imeshikiliwa.

Kuna jamaa tupo wote,yeye ni SISIEM KINDAKINDAKI,kipindi kile SISIEM wanapoka uchaguzi kwa kisingizio cha kutokufahamu kujaza fomu yeye alithibitisha kabisa kwa wapinzani hawana elimu na SISIEM wao wamechukua wanasheria ndio wanaowajazia fomu.
Alijisahau kuwa yeye ni Mtanzania,leo kawa wa kwanza kulilaumu bunge kwa kutokuthamini wananchi suala la Tozo na mafuta.
Lakin huyuhuyu wakati watetezi akina Zito wanadhurumiwa walifurahi sana,leo tena wanageuka kulilaumu bunge.
WATANZANI WEPESI SANA KULAGHAIWA NA VIPANDE VYA CHAKULA HARAFU MWISHOWE YEYE WAKWANZA KUPIGA KELELE
Ndugai ndio alikua anasisitiza kuhusu Tozo mshasahau kuyumba kwa Uchumi ni kuwa na mnyororo wa Tozo usio na kichwa wala miguu washauri ndio hao Wasingida kila kukicha kuvaa bendera ya Tanzania huku akitupakia rangi ya kutupiga..
Kuna jamaa tupo wote,yeye ni SISIEM KINDAKINDAKI,kipindi kile SISIEM wanapoka uchaguzi kwa kisingizio cha kutokufahamu kujaza fomu yeye alithibitisha kabisa kwa wapinzani hawana elimu na SISIEM wao wamechukua wanasheria ndio wanaowajazia fomu.
Alijisahau kuwa yeye ni Mtanzania,leo kawa wa kwanza kulilaumu bunge kwa kutokuthamini wananchi suala la Tozo na mafuta.
Lakin huyuhuyu wakati watetezi akina Zito wanadhurumiwa walifurahi sana,leo tena wanageuka kulilaumu bunge.
WATANZANI WEPESI SANA KULAGHAIWA NA VIPANDE VYA CHAKULA HARAFU MWISHOWE YEYE WAKWANZA KUPIGA KELELE
Ndugai hakuwa na nia mbaya, ila hakueleweka. Alikuwa anatahadharisha. Bahati mbaya huyu Mgogo hajui kutumia lugha ya kiusanii kama wanavyofanya wengine.
Na kweli alivyosema maana Tozo zinazidi kuibuka na zimekuwa mtihani.
Masikini Ngugai.
Nchi inayoheshimika na itakayoheshimika Ni Ile inayojitegemea kwa Mambo take mengi, nchi yetu lazima tuanze kuisimamisha na kuijenga wenyewe kwa mikono yetu wenyewe, Sasa hutaki tuchangie katika kuijenga Tanzania yetu he unataka Nani she atujengee nchi yetu,
Kwani hufurahi unapoona vituo vya Afya,shule,zahanati ,huduma za maji na umeme vikisambazwa huku na huko kutokanaa na michango yetu kidogo kidogo kulingana na vipato vyetu
Kuwa kiongozi mkuu wa muhimili mmoja mkubwa kati ya mitatu sio nafasi ndogo. Mzee alikuwa kwenye position ambayo kuna mambo lazima ayajue hata miezi, mwaka au miaka kadhaa kabla yetu sisi raia wa kawaida.
Kwa jinsi hali ilivyo kwa sasa, naanza kumuelewa alichokisema siku ile ambacho kilisababisha akapoteza nafasi yake. Huenda aliona mbali na hakutaka kushiriki huu udhalimu ndiyo maana wakamfanya walichomfanya.
Ukimya wa mrithi wake ndiyo hasa unaotia mashaka, maana pamoja na hali mbaya wanayopitia wananchi yeye kama kiongozi mkuu wa wawakilishi wa wananchi yupo kimyaaa.
Mawaziri nao ndiyo kabisaaaa wanatutukana live live kabisa, kwamba "Kama hatutaki tuhame nchi". Yani sisi wananchi tuhame nchi? Sisi wananchi? Sasa nadhani hajui kwamba kati ya uananchi na uwaziri kuna kimoja ni permanent na kimoja ni temporary.
Ndiyo maana nasema huenda Ndugai alikuwa anajua kinachopangwa na tunachoenda kukipitia wananchi. Japo na yeye huko nyuma alikuwa na makandokando mengi ila Mungu amuweke kwa kusimama kikataa kwenye jambo moja baya kati ya mengi.
Ndugai alizoea kukopa kwa kificho yy na Kayafa Tena kwa riba kubwa ,
Mama anakopa kila mTz anajua na ndio maana mnajadili ,
Yule kayafa muongo aliwaaminisha mafala kwamba anajenga Nchi kwa pesa za Ndani kumbe anakopa na 10%, manaipiga !! Ndugai Mungu anaendelea kushughulikia faili lake....