Huenda Ndugai alikuwa anajua tulichokuwa hatukijui, sasa tunakiona cha mtema kuni

Huenda Ndugai alikuwa anajua tulichokuwa hatukijui, sasa tunakiona cha mtema kuni

Ndugai hana usafi au uzuri wakutuambia au kutufundisha chochote maana naye ni sehemu ya wahuni tu but in different time.

Wapo kwenye moral authoriy yakusema neno, sio yule jamaa mhuni mhuni.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapumbavu walishangilia Ndugai kuzodolewa, wakisema ni sukuma gang anakomeshwa!

Kauli ya Ndugai itaishi sana tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapumbavu walishangilia Ndugai kuzodolewa, wakisema ni sukuma gang anakomeshwa!

Kauli ya Ndugai itaishi sana tu
Itaishi kwenye nanii zako kama yule muovu jiwe
 
Kwenye ishu ya kulipa Kodi mm Naungana na serikali, hii itatufanya Kama nchi tuwe na Deni la Taifa himilivu zaidi na siku moja bajet ya serikali itaweza kuendeshwa kwa Kodi zetu wenyewe. Tulipe Kodi kwa maendeleo yetu wenyewe.🇹🇿
 
Mkuu mbona kama ndugai alikuwa anataka tozo ziwepo au sijaelewa hapo?

Amesema tozo ziwepo ili tuijenge nchi yetu wenyewe sasa huyu alikuwa na huruma na sisi wananchi au ni vipi?

Me naona wale wale tu.
Swadaktaaa, hiki ndo alichomaanisha kabisaaa
 
Umekosea sana kutumia hili neno "Huenda".

Sio huenda mkuu bali ndivyo jinsi hali ilivyokuwa, Ndugai alikwishajua mipango yote ambayo kwasasa inatekelezwa. Ile nafasi aliyokuwa nayo "Uspika" ni kubwa zan kiasi kwamba mipango yote kwa asilimia kubwa inapitia kwake.

Huoni sasahivi Mwigulu anaziruka Tozo zake, anasema kuwa hawezi kuzibadilisha kwasababu zilipitishwa na Bunge chini ya Spika na wabunge?

NB:Nchi kuuzwa ni swala la muda tu, mtasikia bandari imeshikiliwa.
Bandari is no more ni matter of time [emoji21]
 
Hana usafi wowote .

Huyu anaujua mkakati mkuu wa covid 19 na mpango wa dikteta kutawala bila ukomo.

He has no moral probity to lecture anyone on matters pertaining to the rule of law .
 
Kuwa kiongozi mkuu wa muhimili mmoja mkubwa kati ya mitatu sio nafasi ndogo. Mzee alikuwa kwenye position ambayo kuna mambo lazima ayajue hata miezi, mwaka au miaka kadhaa kabla yetu sisi raia wa kawaida.

Kwa jinsi hali ilivyo kwa sasa, naanza kumuelewa alichokisema siku ile ambacho kilisababisha akapoteza nafasi yake. Huenda aliona mbali na hakutaka kushiriki huu udhalimu ndiyo maana wakamfanya walichomfanya.

Ukimya wa mrithi wake ndiyo hasa unaotia mashaka, maana pamoja na hali mbaya wanayopitia wananchi yeye kama kiongozi mkuu wa wawakilishi wa wananchi yupo kimyaaa.

Mawaziri nao ndiyo kabisaaaa wanatutukana live live kabisa, kwamba "Kama hatutaki tuhame nchi". Yani sisi wananchi tuhame nchi? Sisi wananchi? Sasa nadhani hajui kwamba kati ya uananchi na uwaziri kuna kimoja ni permanent na kimoja ni temporary.

Ndiyo maana nasema huenda Ndugai alikuwa anajua kinachopangwa na tunachoenda kukipitia wananchi. Japo na yeye huko nyuma alikuwa na makandokando mengi ila Mungu amuweke kwa kusimama kikataa kwenye jambo moja baya kati ya mengi.
View attachment 2333244
Alikuwa sahihi kabisa.................kushambuliwa kwenye maoni yake kisha kuondolewa kwenye kiti kwa shinikizo ulikuwa ni unyama sana na chama chake
 
Hana usafi wowote .

Huyu anaujua mkakati mkuu wa covid 19 na mpango wa dikteta kutawala bila ukomo.

He has no moral probity to lecture anyone on matters pertaining to the rule of law .
Unatetea ushetani uliopo kwa kuwa unalamba asali subiri ifike kiangazi nyuki waanze kutafuta maua yenye malighafi utaukimbia mzinga bila kupenda
 
Unatetea ushetani uliopo kwa kuwa unalamba asali subiri ifike kiangazi nyuki waanze kutafuta maua yenye malighafi utaukimbia mzinga bila kupenda
Mashetani wanajuana kwa ushetani wao siwezi kuwa miongoni mwao Ndugai hana usafi wa kuzungumzia uchafu wa awamu ya 6 huku akimezea uchafu awamu ya 5.

Kwangu mimi awamu ya 5&6 ,ni za hovyo na pia hazikuingia madarakani kwa kuchaguliwa na wananchi.
 
Ndugai alimsaliti mama na tulimshughulikia kwa taratibu za chama🐒
 
Back
Top Bottom