Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Huyo ndungai na yule muovu jiwe lao mojaHata mm nashangaa hasira ya mama ilisababishwa na nn wakati kumbe Ndugai alikuwa anamuunga mkono?
Itaishi kwenye nanii zako kama yule muovu jiwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapumbavu walishangilia Ndugai kuzodolewa, wakisema ni sukuma gang anakomeshwa!
Kauli ya Ndugai itaishi sana tu
Swadaktaaa, hiki ndo alichomaanisha kabisaaaMkuu mbona kama ndugai alikuwa anataka tozo ziwepo au sijaelewa hapo?
Amesema tozo ziwepo ili tuijenge nchi yetu wenyewe sasa huyu alikuwa na huruma na sisi wananchi au ni vipi?
Me naona wale wale tu.
Anamshauri mambo gani huyo Askofu kama hajui Yesu hakuwa na mkeMzee Job Ndugai ni mshauri wa askofu mkuu wa Canterbury UK
Overrated. hiyo inaitwa kambaMzee Job Ndugai ni mshauri wa askofu mkuu wa Canterbury UK
Bandari is no more ni matter of time [emoji21]Umekosea sana kutumia hili neno "Huenda".
Sio huenda mkuu bali ndivyo jinsi hali ilivyokuwa, Ndugai alikwishajua mipango yote ambayo kwasasa inatekelezwa. Ile nafasi aliyokuwa nayo "Uspika" ni kubwa zan kiasi kwamba mipango yote kwa asilimia kubwa inapitia kwake.
Huoni sasahivi Mwigulu anaziruka Tozo zake, anasema kuwa hawezi kuzibadilisha kwasababu zilipitishwa na Bunge chini ya Spika na wabunge?
NB:Nchi kuuzwa ni swala la muda tu, mtasikia bandari imeshikiliwa.
F^ambaOverrated. hiyo inaitwa kamba
Samia na Pemba wapi na wapi? Au kila atokaye Visiwani ni Mpemba?Maza amejikita kuijenga Pemba
๐๐คฃ๐ ๐๐๐๐๐Utamkuta NARCO Anachunga Mifugo YakeMzee Job Ndugai ni mshauri wa askofu mkuu wa Canterbury UK
Alikuwa sahihi kabisa.................kushambuliwa kwenye maoni yake kisha kuondolewa kwenye kiti kwa shinikizo ulikuwa ni unyama sana na chama chakeKuwa kiongozi mkuu wa muhimili mmoja mkubwa kati ya mitatu sio nafasi ndogo. Mzee alikuwa kwenye position ambayo kuna mambo lazima ayajue hata miezi, mwaka au miaka kadhaa kabla yetu sisi raia wa kawaida.
Kwa jinsi hali ilivyo kwa sasa, naanza kumuelewa alichokisema siku ile ambacho kilisababisha akapoteza nafasi yake. Huenda aliona mbali na hakutaka kushiriki huu udhalimu ndiyo maana wakamfanya walichomfanya.
Ukimya wa mrithi wake ndiyo hasa unaotia mashaka, maana pamoja na hali mbaya wanayopitia wananchi yeye kama kiongozi mkuu wa wawakilishi wa wananchi yupo kimyaaa.
Mawaziri nao ndiyo kabisaaaa wanatutukana live live kabisa, kwamba "Kama hatutaki tuhame nchi". Yani sisi wananchi tuhame nchi? Sisi wananchi? Sasa nadhani hajui kwamba kati ya uananchi na uwaziri kuna kimoja ni permanent na kimoja ni temporary.
Ndiyo maana nasema huenda Ndugai alikuwa anajua kinachopangwa na tunachoenda kukipitia wananchi. Japo na yeye huko nyuma alikuwa na makandokando mengi ila Mungu amuweke kwa kusimama kikataa kwenye jambo moja baya kati ya mengi.
View attachment 2333244
Unatetea ushetani uliopo kwa kuwa unalamba asali subiri ifike kiangazi nyuki waanze kutafuta maua yenye malighafi utaukimbia mzinga bila kupendaHana usafi wowote .
Huyu anaujua mkakati mkuu wa covid 19 na mpango wa dikteta kutawala bila ukomo.
He has no moral probity to lecture anyone on matters pertaining to the rule of law .
Mashetani wanajuana kwa ushetani wao siwezi kuwa miongoni mwao Ndugai hana usafi wa kuzungumzia uchafu wa awamu ya 6 huku akimezea uchafu awamu ya 5.Unatetea ushetani uliopo kwa kuwa unalamba asali subiri ifike kiangazi nyuki waanze kutafuta maua yenye malighafi utaukimbia mzinga bila kupenda
Kwani hatumjui?Samia na Pemba wapi na wapi? Au kila atokaye Visiwani ni Mpemba?
Hao ambao wapo upinzani mbona wapo kimya, sasa wanafaida gani?Angekuwa serious angeachia ubunge aingie upinzani apambane kweli kweli tofauti na hapo ni tapeli tupu