Huenda ni kweli yanayosemwa juu ya FEI

Ni muda mrefu tumesikia mengi tu kwamba Feisal kwenda Azam ni kituo tu lakini destination ni MSIMBAZI.

NIMESHAWISHIKA LEO KUAMIN
ni kweli ni baada ya mkataba wa fei wa miaka 3 kupita watampeleka azam,maana yanga wameweka sharti kuwa iwapo azam watamuuza fei,kabla ya miaka 3 itabidi simba wailipe yanga bil 1
 
Ile penati iliyodangwa na golikipa "mlingoti wa goli" ndo imekushawishi kuamini hivyo?? Na vipi ile eti eti ya kwamba mkataba kati ya Azam na Yanga ni kwamba wakitaka wakamuuze kokote lakini siyo kwa NGURUWE FC??
Vyura mrudisheni majini yamtakatishe...
 
Ni muda mrefu tumesikia mengi tu kwamba Feisal kwenda Azam ni kituo tu lakini destination ni MSIMBAZI.

NIMESHAWISHIKA LEO
Kama maamuzi yako yanatokana na tukio la penati ya Jana basi hauko sahihi. Kosa liko Kwa kocha aliyeruhusu mchezaji mwenye tension kupiga penati. Lilikuwa kosa kubwa kumpa Feisal kupiga penati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…