Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Kakolanya akae huko huko.Yanga wangeachana na mshery au metacha wamchukue kakolanya, siku diarra akiumia muda mrefu tutadhalilika Sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kakolanya akae huko huko.Yanga wangeachana na mshery au metacha wamchukue kakolanya, siku diarra akiumia muda mrefu tutadhalilika Sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aziza ki alipokosa penalty dhidi ya Mamelodi naye nijia ya kwenda Mamelodi ? Tuanzie hapo kwanza
ni kweli ni baada ya mkataba wa fei wa miaka 3 kupita watampeleka azam,maana yanga wameweka sharti kuwa iwapo azam watamuuza fei,kabla ya miaka 3 itabidi simba wailipe yanga bil 1Ni muda mrefu tumesikia mengi tu kwamba Feisal kwenda Azam ni kituo tu lakini destination ni MSIMBAZI.
NIMESHAWISHIKA LEO KUAMIN
Itoe Arsenal kwenye huo upuuzi wakoAzam mechi za maamuzi kama hizi ni kituko kama arsenal huko Uingereza.
Vyura mrudisheni majini yamtakatishe...Ile penati iliyodangwa na golikipa "mlingoti wa goli" ndo imekushawishi kuamini hivyo?? Na vipi ile eti eti ya kwamba mkataba kati ya Azam na Yanga ni kwamba wakitaka wakamuuze kokote lakini siyo kwa NGURUWE FC??
Kama maamuzi yako yanatokana na tukio la penati ya Jana basi hauko sahihi. Kosa liko Kwa kocha aliyeruhusu mchezaji mwenye tension kupiga penati. Lilikuwa kosa kubwa kumpa Feisal kupiga penati.Ni muda mrefu tumesikia mengi tu kwamba Feisal kwenda Azam ni kituo tu lakini destination ni MSIMBAZI.
NIMESHAWISHIKA LEO
Ndo ukweli huo, nikiitoa Arsenal kwenye huu upuuzi basi nifute comment kabisa kitu nisichoweza kufanya kabisa.Itoe Arsenal kwenye huo upuuzi wako