Huenda Nyota Kali za akina Diamond na Wema tukiambukizwa wengi tutafanikiwa kimaisha

Huenda Nyota Kali za akina Diamond na Wema tukiambukizwa wengi tutafanikiwa kimaisha

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ni ukweli usiopingika kwamba Watu maarufu hawa Mwanamuziki Nasib Abdul ( Diamond Platinum ) na Msanii wa Maigizo na Mlimbwende Wema Sepetu ( Sepenga ) ni Watu wenye ' Nyota ' kali sana za Kimafanikio katika maisha yao ya kila siku na ndiyo utaweza kuona kila siku wanasema / wananangwa na wengi lakini ndiyo wanazidi tu kutuacha Kimafanikio huku Sisi tukibaki tu majungu yetu na Wivu mioyoni mwetu.

Nadhani imefika muda sasa akina Diamond na Sepenga watugawie Sisi wengine sehemu tu ya ' Nyota ' zao za ' Jaha ' ili nasi basi tuweze ' Kutusua ' Kimaisha na tuwe na mafanikio badala ya Sisi kuwekeza tu katika kuwapiga wao majungu huku umasikini / ufukura ukitutawala hadi katika Kope za macho yetu.

Nawasilisha.
 
kabisaaa awa jamaa wana nyota kali.....

Haiwezekani kila uchao / siku tunawapiga majungu, tunawadhihaki kwa kila namna lakini cha ajabu Sisi tunawafanyia hivyo Umasikini / Ufukara wetu ndiyo unazidi tu Kuongezeka halafu Wao ndiyo Kwanza Mwenyezi Mungu anawanyooshea njia zao za baraka na kuwapa ' mafuriko ' ya Kimafanikio. Kuna mahala ambapo wawili hawa wanatushinda hivyo watusaidie tu watuambukize nasi hata kiduchu / kidogo tu hizo ' Nyota ' zao.
 
Nasibu sawa lakini wema big NO! Yuko gizani kabisa
 
Back
Top Bottom