Huenda Nyota Kali za akina Diamond na Wema tukiambukizwa wengi tutafanikiwa kimaisha

Sina problem na nyota ya mafanikio ya Diamond..
Kijana anahangaika na kuhangaika kwake kunamlipa..

Lakini Wema ana nyota ya mafanikio gani??
Kutingisha MAKALIO kwenye swimming pool nayo ni mafanikio?? Kutiwa na kila mtu akutongozae nayo ni mafanikio??

Wema hana mkataba wowote wa kutangaza product yoyote kumuingizia hata senti kumi utamuita nae huyu ni brand??

Acheni mzaha jamani.
 
Wema ana mafanikio gani? Au kuonyesha makalio kwenye maji kwako ndo mafanikio?
 
Ni ukweli usiopingika kwamba Watu maarufu hawa Mwanamuziki Nasib Abdul ( Diamond Platinum ) na Msanii wa Maigizo na Mlimbwende Wema Sepetu ( Sepenga ) ni Watu wenye ' Nyota ' kali sana za Kimafanikio katika maisha yao ya kila siku na ndiyo utaweza kuona kila siku wanasema / wananangwa na wengi lakini ndiyo wanazidi tu kutuacha Kimafanikio huku Sisi tukibaki tu majungu yetu na Wivu mioyoni mwetu.

Nadhani imefika muda sasa akina Diamond na Sepenga watugawie Sisi wengine sehemu tu ya ' Nyota ' zao za ' Jaha ' ili nasi basi tuweze ' Kutusua ' Kimaisha na tuwe na mafanikio badala ya Sisi kuwekeza tu katika kuwapiga wao majungu huku umasikini / ufukura ukitutawala hadi katika Kope za macho yetu.

Nawasilisha.
mkuu sio na "chachandu" inasaidia mambo haya bwana
 
Na leo ni mgeni mwalikwa kwenye uzinduzi wa uwekaji Rada,JNIA ambapo Mhe.Rais atahutubia.
 
Haiwezekani kila uchao / siku tunawapiga majungu, tunawadhihaki kwa kila namna lakini cha ajabu Sisi tunawafanyia hivyo Umasikini / Ufukara wetu ndiyo unazidi tu Kuongezeka halafu Wao ndiyo Kwanza Mwenyezi Mungu anawanyooshea njia zao za baraka na kuwapa ' mafuriko ' ya Kimafanikio. Kuna mahala ambapo wawili hawa wanatushinda hivyo watusaidie tu watuambukize nasi hata kiduchu / kidogo tu hizo ' Nyota ' zao.
We jamaa kila kitu huwa unapenda kujifanya great thiiiiiiinker ila naona una mashudu tuu kwa kichwa,, sa umeandika nn??
 
Idiot. Na kuhusu Mimi kujifanya Great Thinker wala kusikusumbue sana kwani ukweli ni kwamba ndivyo nilivyoumbwa na kubarikiwa nae Mwenyezi Mungu ambaye huyo huyo tena akakubariki Wewe na huo ' Upumbavu ' wako unaokusumbua ambao ni dhahiri shahiri kuwa umeurithi kwa waliojitahidi Kufanya Mapenzi yao ya ' Kiuwendawazimu ' Kitandani hadi ' Mimba ' ya Kuzaliwa Wewe ikatokea.

Hongera pia kwa kuchukua muda wako mwingi kusumbuka kuanzisha ID mpya ambayo imeanza kutumika leo humu ili tu uweze kumchokoza na kujibizana na GENTAMYCINE ambaye ni Jeshi la Mtu mmoja. Nawapenda mno ' Wapumbavu ' kama nyie halafu nashangaa mnajitahidi kuanzisha ID's mpya kupambana nami wakati Mimi nawashindeni kwa hii hii ' Brand ID ' yangu kila uchao humu.
 
Hivi mbona wasafi TV hawapigi ngoma za mfarume kiba????
 
Kichwa maji we 24/7 upo JF then unajiaminisha ni great thinker
 
Wala hujakosea huwa napatikana humu kila siku Saa 3:30 asubuhi hadi Saa 5:00 asubuhi kisha Saa 8:30 mchana hadi Saa 10:00 jioni na Saa 4:00 usiku hadi Saa 6:00 usiku. Nitaomba unihesabie hayo Masaa tajwa hapo kisha nipe majibu je yanatimia Masaa 24 uliyoyasema? Halafu naomba nikuulize ' Kajiswali ' hivi Wewe unahusika na kuninunulia Mimi ' bundle ' la kuniwezesha kuwepo humu kila hayo masaa? GENTAMYCINE akiwemo humu Wewe anakuongeza au anakupunguzia nini? Sasa kwa kukusaidia tu ni kwamba uwepo wangu humu kila Siku una ' impact ' kubwa sana Kijamii, Kisiasa, Kimichezo, Kiburudani, Kihabari, Kimaarifa na Kielimu. Kiburi changu kikubwa nakipata kutokana na ' mrejesho ' mkubwa ninaoupata kutoka sehemu mbalimbali juu ya ' Brand ID ' hii ya GENTAMYCINE ' Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer '.

Na kuhusu Historia ya maisha yangu sidhani hata kama nikikuwekea hapa unaweza ukaifikia kwa lolote lile sana sana ndiyo Kwanza nazidi tu Kukudharau kwani najua ya kwamba unaumizwa na jinsi GENTAMYCINE ninavyokubalika na kufuatiliwa na Wengi huku kila kukicha nazidi tu kupata ' Followers ' humu JF ambako hadi sasa ninao 32 huku nikiwa sina uhakika kama ' Pumbavu ' Wewe ukijumlisha ile ID yako uliyoipa likizo na hii mpya kama unao hata Wawili ( 2 ) tu. Mliokulia katika maisha ya dhiki, taabu na shida huwa mna majungu, wivu na uswahili mno huku mkitaka kulazimisha Watu wengine waishi kama nyie. Nipo humu muda wote huo lakini naingiza ' Kipato ' vile vile na hata ikitokea maisha yakanipiga nashukuru Mwenyezi Mungu ' Wazazi ' wangu walijitahidi ' Kuwekeza ' hivyo Mtoto wao sitoteseka sana. Sasa Wewe niige ulale njaa Swine.

Kuhusu Mimi kuwa Kichwa Maji wala hujakosea kwani kupitia Maji hayo hayo naweza nikayachuja na kupata Maji mazuri ya kusaidia kuuimarisha Ubongo wangu na nikawa Kipanga / Mwerevu kama hivi nilivyo ila sijui kwa Wewe ' Kichwa Kinyesi Uharo ' unaweza ukajisaidiaje ili uje kuwa sawa sawa.

Hii ni ' dozi ' yangu tu ya awali Kwako nasubiri sasa urudi tena ili ' Mwanamume ' nimalize Kazi tuweze Kuheshimiana.
 
sawa mama wa kitanga
 
sawa mama wa kitanga

Acha kupoteza muda wako na kusumbuka na GENTAMYCINE na badala yake pambana tu kutatua tatizo lako la Umasikini / Ufukara linalokukabili pamoja na ' Koo ' zako zote mbili. Na humu JF nipo sana tu na hayo masaa nimekupa ili uwe unajua muda ambao ' Mwanamume ' huwa nakuwepo humu Jamvini. Wamenishindwa ' Majabali ' humu na sasa wamekuwa Marafiki zangu na tunaenda sawa utakuwa Wewe ' Idiot ' uliyezuka tu tena ukiwa mwoga wa kunikabili kwa ID yako inayojulikana na ukaamua kuianzisha hii. Yaani nakudharau na nakusanifu vile vile. Kweli GENTAMYCINE ni habari ya ' mujini ' na moto wa kuotea mbali kwani anawahenyesha Watu hadi wanaamua kuanzisha ID's mpya ambazo pia kwa uzoefu wangu kiasi humu wa miaka minne kama siyo mitano naweza kumjua Member vizuri hata akija kwa ID gani.
 
Shuzi limepata mjambaji.

Kuna watu wameumbwa kweli...kweli.

Ka dem!!??
 
Back
Top Bottom