Wala hujakosea huwa napatikana humu kila siku Saa 3:30 asubuhi hadi Saa 5:00 asubuhi kisha Saa 8:30 mchana hadi Saa 10:00 jioni na Saa 4:00 usiku hadi Saa 6:00 usiku. Nitaomba unihesabie hayo Masaa tajwa hapo kisha nipe majibu je yanatimia Masaa 24 uliyoyasema? Halafu naomba nikuulize ' Kajiswali ' hivi Wewe unahusika na kuninunulia Mimi ' bundle ' la kuniwezesha kuwepo humu kila hayo masaa? GENTAMYCINE akiwemo humu Wewe anakuongeza au anakupunguzia nini? Sasa kwa kukusaidia tu ni kwamba uwepo wangu humu kila Siku una ' impact ' kubwa sana Kijamii, Kisiasa, Kimichezo, Kiburudani, Kihabari, Kimaarifa na Kielimu. Kiburi changu kikubwa nakipata kutokana na ' mrejesho ' mkubwa ninaoupata kutoka sehemu mbalimbali juu ya ' Brand ID ' hii ya GENTAMYCINE ' Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer '.
Na kuhusu Historia ya maisha yangu sidhani hata kama nikikuwekea hapa unaweza ukaifikia kwa lolote lile sana sana ndiyo Kwanza nazidi tu Kukudharau kwani najua ya kwamba unaumizwa na jinsi GENTAMYCINE ninavyokubalika na kufuatiliwa na Wengi huku kila kukicha nazidi tu kupata ' Followers ' humu JF ambako hadi sasa ninao 32 huku nikiwa sina uhakika kama ' Pumbavu ' Wewe ukijumlisha ile ID yako uliyoipa likizo na hii mpya kama unao hata Wawili ( 2 ) tu. Mliokulia katika maisha ya dhiki, taabu na shida huwa mna majungu, wivu na uswahili mno huku mkitaka kulazimisha Watu wengine waishi kama nyie. Nipo humu muda wote huo lakini naingiza ' Kipato ' vile vile na hata ikitokea maisha yakanipiga nashukuru Mwenyezi Mungu ' Wazazi ' wangu walijitahidi ' Kuwekeza ' hivyo Mtoto wao sitoteseka sana. Sasa Wewe niige ulale njaa Swine.
Kuhusu Mimi kuwa Kichwa Maji wala hujakosea kwani kupitia Maji hayo hayo naweza nikayachuja na kupata Maji mazuri ya kusaidia kuuimarisha Ubongo wangu na nikawa Kipanga / Mwerevu kama hivi nilivyo ila sijui kwa Wewe ' Kichwa Kinyesi Uharo ' unaweza ukajisaidiaje ili uje kuwa sawa sawa.
Hii ni ' dozi ' yangu tu ya awali Kwako nasubiri sasa urudi tena ili ' Mwanamume ' nimalize Kazi tuweze Kuheshimiana.