Huenda Open University of Tanzania (OUT) inatoa wanafunzi bora Tz

Magobe T

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2008
Posts
5,602
Reaction score
3,845
Ndugu wanaJF, wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT) licha ya kuwa na changamoto nyingi katika utafutaji wao wa elimu (hasa kwa kuzingatia kuwa wanasoma na wakati huohuo wanafanya kazi) wanaweza kuwa bora zaidi kuliko wanaotoka conventional universities hapa Tanzania kwa maana kwamba wanajitafutia notes za masomo na kujinunulia vitabu/wanajituma kusoma maana hakuna njia nyingine yoyote inaweza kuwafanya wafaulu zaidi ya kujitafutia wenyewe.

According to Prof Mbwete, graduates wa Faculty of Law wanafanya vizuri sana kulinganisha na wa vyuo vingine. Sababu hasa ninayoiona ni ile hali ya kujitafutia study materials (kujituma kwao)/kuchakalika.


Hata baadhi yao uki‘argue' nao unapata feeling kuwa wameiva vizuri kielimu. Naomba mchango wenu maana mara nyingi huwa tunajadili wanafunzi wa vyuo vingine na kuwasahau kabisa as if hawapo.
 
Binafsi cjawah kukutana na graduate yeyote wa out so cna cha kuchangia.
 
Sawa baadhi ni wazuri, lakini kwa kuwa mazingira wanayosomea siyo mazuri kama tujuavyo, usitegemee kuwa watatoa wanafunzi bora kwa vile wanahangaika kujitafutia materials. Kama ni hivyo shule za kata zingekuwa mbali. Hata hivyo, chuo chochote chaweza kutoa wanafunzi bora mradi kuwe na mazingira mazuri (walimu, vifaa) . je OUT wanatimiza hayo?
 
Uzuri wa graduates yeyote yule ni uwezo wake binafsi wa kufanya kazi zenye maslahi kwa watanzania wote, no matter awe ni open au hawa wa kawaida, Wanafunzi wa open huwa ni wazuri kiutendaji kwani wamezoea kujishughulisha sana kwenye utafutaji wa material, ila kitu walichokikosa kwa asilimia kubwa ni Interaction na watu wa kada zingine zingine kwani mara nyingi huwa wpo wenyewe na Interacton ni part ya education.

Labda ili tuweze kuboresha zaidi ni vyema tungefaham ya kuwa akina Jailosi, Mwakapugi, Karamagi, Mramba, Mgonja, Lowasa, Chenge n.k kuwa je wamesoma open university au vipi? kwani hawa jamaa nadhani kila mtanzania huwa anaelewa kuwa mchango wao kwenye hili taifa ulikuwa ni nini. Then baada ya hapo tunaweza kuchambua ubora wa elimu kati ya chuo kikuu huria na hivi vingine.

Naomba kuwasilisha kwani huo ndio uhuru wangu wa maoni!!!!!
 

hapo kwenye red and bolded: mkuu umemuua nyoka kwa kumkata kichwa na kukitenganisha na mwili kabisa.
 

Hivi programmes zinazotolewa na hiki chuo ni zipi? nataka nijiunge nao nosome Masters by distance.
 
mi nadhani sio kweli kwa7bu kwanz material hawatafuti bali wananunua kutoka chuon pili ingekua mtu anafaulu kwa kujisomea mwenyew kusingekua na haja ya walimu. Hawa wanafunz wa open kinawasaidia ni wao kuwapo kazini ambapo wanajikuta na ujuz na uzoefu mwingi lakini uzuri darasani huwezi kuwalinganisha na wanafunzi wa vyuo vingine. Mchukue mwanafunzi wa open wa sheria mpeleke mzumbe uone kama hajaomba paulse.....
 

Yupo jamaa mmoja kasoma hiyo kitu, ni mweupe sijawahi kuona!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…