Ndugu wanaJF, wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT) licha ya kuwa na changamoto nyingi katika utafutaji wao wa elimu (hasa kwa kuzingatia kuwa wanasoma na wakati huohuo wanafanya kazi) wanaweza kuwa bora zaidi kuliko wanaotoka conventional universities hapa Tanzania kwa maana kwamba wanajitafutia notes za masomo na kujinunulia vitabu/wanajituma kusoma maana hakuna njia nyingine yoyote inaweza kuwafanya wafaulu zaidi ya kujitafutia wenyewe.
According to Prof Mbwete, graduates wa Faculty of Law wanafanya vizuri sana kulinganisha na wa vyuo vingine. Sababu hasa ninayoiona ni ile hali ya kujitafutia study materials (kujituma kwao)/kuchakalika.
Hata baadhi yao uki‘argue' nao unapata feeling kuwa wameiva vizuri kielimu. Naomba mchango wenu maana mara nyingi huwa tunajadili wanafunzi wa vyuo vingine na kuwasahau kabisa as if hawapo.