Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
Kwa yanayoendelea kuhusu mradi wa SGR kuanza kwa kusuasua hatua za awali kabisa hii ni hujuma kwa Rais kipenzi cha watanzania mama Samia Suluhu
Figisu zimeanza mapema mno na hii yote ni kutaka ionekane mama amefail, kitu ambacho kinawaumiza watanzania wengi
Rais chukua hatua mapema, bado umezungukwa na wasiokupenda wala kuitakia mema nchi hii, pitisha fagio kwa wote wanaohujumu usafiri huu wa kisasa