Huenda Ruth Zaipuna ndiye Waziri wa Fedha ajaye!

Umeanza na HUENDA….

Maana yake ni tetesi tu
Atagombea Jimbo Gani ili awe waziri? Au atakua sehemu ya wabunge 10 wateule wa Rais?

NB : huwezi kuwa waziri km sio mbunge, iwe kuteuliwa au kuchauliwa Kwa kura
 
The best bank CEO ni Charles Kimei tu ambaye aliweza ku survive na kufanikiwa kwenye mazingira magumu

Hawa wa sasa wanaonekana ku perform kwa sababu macroeconomic condition zipo ease lakini sio kwamba wanafanya maajabu makubwa.

Na hii ndo sababu kila bank kwa sasa na miaka kama 2 iliopita inajiendesha kwa faida.

So sioni kama hiyo ni credit pekee yeye kuongoza wizara ya fedha, japo sisemi eti kwamba hawezi ongoza maana kwa Tanzania tumezoea kurahisisha mambo hivyo anaweza tu kuwa lakini haitamaanisha atakuwa the most qualified person for the role
 
Abaki huko huko NMB
 
Lakini ufanisi au ubora wa mtu haupimwi kwa kufanya kazi katika mazingira magumu pekee, kwa maana wako watu ambao wako na resources zote lakini wanashindwa kufanya kazi ipasavyo.
 
Back
Top Bottom